Humble African
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 4,781
- 14,442
Nitaleta habari zaidi muda mfupi baadae kwa sasa bado tunashughulikia taratibu za kuwapeleka hospitali ya Maweni kwa msaada wa Dawati la Polisi la jinsia na watoto mkoa wa Kigoma.
Na pia kwa yeyote anahisi anaweza kutoa msaada wowote tuwasiliane.
Nitarudi ndugu zangu!
Na pia kwa yeyote anahisi anaweza kutoa msaada wowote tuwasiliane.
Nitarudi ndugu zangu!