Picha: Nashukuru Mungu warumi nimepata mchumba

Picha: Nashukuru Mungu warumi nimepata mchumba

Hahahaaa huyu ndo sweetfella, namuona insta anauza mkorogo
 
Beauty is in the eyes of the beholder . Mrumi huyo alitaka kuwa sister au ni mke wa sheikh
 
warumi niliionaga hii ya mkorogo nikapita mdogo mdogo maana sina la kusema ni anajipenda alivyo hakunaga.

Ila aombe Mungu ngozi yake isiharibike iwe ngumu kumudu kila tatizo au atajutaaaaaaaa
 
Last edited by a moderator:
warumi niliionaga hii ya mkorogo nikapita mdogo mdogo maana sina la kusema ni anajipenda alivyo hakunaga.

Ila aombe Mungu ngozi yake isiharibike iwe ngumu kumudu kila tatizo au atajutaaaaaaaa

Jaman mawifi ka mshaanza, kakaenu ndo nshapenda hvyo
 
Last edited by a moderator:
Mke wa mtu uyu ujue na mumewe muone vile vile mtata hasa yule Said usione bonge vile anajua kulizua binamu akipita akute mkewe kaanikwa hakika atalizua na kwa maisha yake kupata hii habari ni kitu kinachowezekana.
 
Siki zote nilijua warumi ni jike

warumi ni jike hata alivyoandika hapa ameandika kikikekike wataalam wameng'amua hilo
umeleta uzi huu na kujifany mwanamke
"nn tatzo mama wa michambo yak naifahamu???"
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom