ragin
JF-Expert Member
- Feb 9, 2015
- 7,391
- 9,385
MKe busy na dressing table mume busy na umbea, ngoma droo
haaaaaaah umeuwaaaaaa
MKe busy na dressing table mume busy na umbea, ngoma droo
BInamu wivu huo, mwenzio weupe wake ni natural, kajaliwa
MO11 umeniwahi na mimi nlitaka kuuliza hivyo sasa sijui ndio itakuwa ile mambo ya Ireland tenambona huyo ni mwanamke mwenzio ?
warumi ni jike hata alivyoandika hapa ameandika kikikekike wataalam wameng'amua hilo
umeleta uzi huu na kujifany mwanamke
"nn tatzo mama wa michambo yak naifahamu???"