PICHA: NAPE NNAUYE KIONGOZI WA CC-CCM; Kaweka mtu Mwenye Bunduki asema ni wa CHADEMA

Wajaribu na wao kuchangisha waone kama kuna atakaye wachangia hata chapaa,wezi wakubwa
 

Toka anyimwe gwanda amekuwa na wivu wa kike sana, Nepi fanya siasa acha wivu bhana...
Naomba saizi ya Nape ili nimnunulie full gwanda manake naona kijana sasa anapotea. ni jukumu letu kumuokoa kutoka kwenye dhambi za magamba. Tumkaribishe atapona zambi zake
 
Yupi bora, anayechukua hela ndani na kuzificha nje au anayechukua nje na kuzitumia ndani?Haya yote nifitina tu kwani CCM ni wachangishaji wakubwa na kwa kiasi cha kuwalazimisha matajiri wawachangie la sivyo wanawawekea mizengwe biashara zao.Isitoshe, hata mifuko yetu ya jamii inakaribia kufilisika kwa CCM kuinyang'anya fedha kughalimia kampeni na shughuli zake za kila siku.Wakati huohuo, viongozi wake wanachukua fedha za nchi na kuzificha nje.Muda ukifika, tutawafanyia sapraizi kama ile JK aliyomfanyia mzee Kighoma Malima.
 
Mkuu hilo neno umelitumia vibaya sana na jitahidi kadri ya uwezo wako uliepuke. Sijui wewe mwenzetu unaishi wapi, lakini mimi nafanya kazi na watu wengi sana, waislam kwa wakristo. Kusema kweli wapo ndugu zetu waislam wengi sana ambao wanaiunga mkono M4C. Naomba tusianze kugawanyika wenyewe kwa wenyewe, ndugu zetu waislam tupo pamoja nao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…