Picha: nape apigwa

Picha: nape apigwa

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
12,333
Reaction score
5,312
Baada ya kutokuelewana huko lumumba toka EL ajitoe hali imekuwa hivi
 

Attachments

  • 1438248824264.jpg
    1438248824264.jpg
    20.7 KB · Views: 1,844
Tutashuhudia mengi kufikia oktoba 25
 
Ulikuwa unamaanisha "Nape Apigwa Stop" kuzungumza na waandishi...ndivyo nilivyoelewa hapa
 
Halafu huyu Nape nae unakumbuka 2010 alishachukua kadi ya CHADEMA baada ya kutoswa kwny kura za maonj kuwania jimbo la Ubungo!

Hata hizo combat alizovaa hapo ktk picha ni zile alizokabidhiwa na CHADEMA!
 
Mi nilifikiri hata wamemn'goa hata macho kumbe bado yupo piruu hivyo.
 
Back
Top Bottom