PICHA : Namkubali sana huyu Waziri, mno

PICHA : Namkubali sana huyu Waziri, mno

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,627
Anachapa kazi sana. Anaiweza Wizara na yupo chamming sana. Yupo peace sana na kila mtu na umri wake bado damu inakimbia vizuri.
ummy%2Bpic.jpg
 
Mwanzo nilimchukulia Poa nikajua Ni Jamii ya kina Sophia Simba

Kwa Kweli yupo Makini Na anajitahidi Sana
 
Mwanzo nilimchukulia Poa nikajua Ni Jamii ya kina Sophia Simba

Kwa Kweli yupo Makini Na anajitahidi Sana
Unamtajaje Sophy ukamuacha yule Mdada wa kusini mwenye ghasia zake.
 
Unamtajaje Sophy ukamuacha yule Mdada wa kusini mwenye ghasia zake.

Nimemlinganisha Na Sophia Simba Kwa Kuwa alikuwa Wizara ya Maendelo ya Jamii ambayo anahusika nayo Huyu wa Sasa

Hawa Ghasia nitamlinganisha Na Suleiman Jaffu Au Mkuchika Kwa Kuwa ndio Wizara ambazo alihudumu
 
Anaonekana yuko vizuri sana akishika microphone
 
Back
Top Bottom