Picha: Nakala ya Hati ya Muungano: Je, wanaoupigania wanafahamu makubaliano muhimu haya?

Huu mkataba sio halali
Umekiuka jambo la msingi la kuunda bunge la katiba na council ya kushauri katiba yenyewe.
Pia mkataba huu hautakiwi kubadilishwa bila sahihi za marais wawili.
Tatu mkataba unataka Rais na Makamo wa Rais awe Rais wa Zanzibar.
Mabadiliko yalofanywa ni kinyume na mkataba huu hio sio halali
 
Hizo na hizi zinafanana au tofauti ujue CCM sio watu kabisa ni matapeli na majambazi wa kisiasa look very carefully .
 

Attachments

  • IMG_20201011_160426.jpg
    IMG_20201011_160426.jpg
    29.6 KB · Views: 4
  • IMG_20201011_160432.jpg
    IMG_20201011_160432.jpg
    87 KB · Views: 3
  • IMG_20201011_160437.jpg
    IMG_20201011_160437.jpg
    71.7 KB · Views: 3
  • IMG_20201011_160442.jpg
    IMG_20201011_160442.jpg
    56.3 KB · Views: 3
Back
Top Bottom