Picha na stori za Loliondo- kwa Babu

utaratibu ni kitu muhimu sana ili kila mtu apate huduma sahihi
laa zivo hapo patazuka magonjwa,na wagonjwa wengi kufa kabla
kupata dawa za babu!!

ila kweli watu tunaumwa na tuna shida aisee
 
Haya mambo ngoja niyavutiye pumzi kwanza!
Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote, nchi nzuri Tanzania jina lako ni tamu sanaa .....

Hapa sasa pamekolea, sijui wale wenye kudai Shs 94 billion watalipwa ktk kipindi hiki ambacho macho mengi, masikio na midomo pia na kamera, karamu na vinasa sauti vimeelekezwa Loliondo; au kuna mtu anafuatilia ili wasijelipwa ktk nyakati hizi. Mmmmmh,
Tanzania aaa, Tanzania aaaa, nakupenda Tanzania aaaaa
 
Kwa taarifa yako kabineti nzima imeisha kunywa dawa kwa babu pamoja na waziri wa afya.........ulitaka dawa hii itoke Ulaya?????
 
Kwa taarifa yako kabineti nzima imeisha kunywa dawa kwa babu pamoja na waziri wa afya.........ulitaka dawa hii itoke Ulaya?????

Sishangai kiongozi kwani kabineti nzima na rais wake wanalindwa na Sheikh Yahaya na majini wake au umesahau alisema yeye atatoa ulinzi usioonekana? Ushirikina tu huo.
 
Asante sana kwa maelezo enough mkuu na tunashukuru sana tena sana
 
mi naona hii tiba ya loliondo serikali waiche iendelee kutoa huduma kwani ni y kiimaniazaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…