Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,277
Watu wapatao 10 wamekamatwa kwa kujihusisha na maandamano nchini Uganda ya kupinga kukamatwa kwa mbunge Bobi Wine.
Picha; "Mzee kapigwa roba kali sana la kuminya koromeo, anatia huruma..Ila na Jamaa wa Bodaboda anatisha. Yaani hana hata hofu ya kukamatwa".
Sent using Jamii Forums mobile app
Picha; "Mzee kapigwa roba kali sana la kuminya koromeo, anatia huruma..Ila na Jamaa wa Bodaboda anatisha. Yaani hana hata hofu ya kukamatwa".
Sent using Jamii Forums mobile app