CHADEMA wote ni wachumia Tumbo na walamba miguu ya watu
ccm ni genge la wezi,wauza sembe,majangili,mafisadi,wala rushwa na kila aina ya uovu.
CHADEMA wote ni wachumia Tumbo na walamba miguu ya watu
Unamuuliza nani ili iweje.
CCM haina siasa za kilaghai na kikubwa kabisa, CCM haina vibaraka wanaotumikia makafiri kupata mtaji wa matumbo yao.
CCM haichakachui katiba yake bali inafanya kazi zake kupitia vikao halali.
CCM haijengwi na viongozi bali wanachama ndiyo wajenzi wake.
Ni kweli wanaoumia ni walalahoi kwenye maandamano kwa sababu huwezi kuwa na nyumba South Africa, United Kingdom, USA, Dubai and Nairobi usiweze kuweka pesa za kificho kwenye mabenki ya Seychelles, Mauritius, Malta, Gibraltar, Channel Islands Luxembourg n.k
Huyu ndiye Mwenyekiti tajiri wa Chama Cha Siasa Tanzania ambaye hatosheki mpaka anachakachua katiba ya chama na kuairisha uchaguzi wa ndani ya chama ili aendeleze ulafi wa madaraka na pesa.
Hivi huyu Mwenyekiti tajiri alirudisha gari ya KUB kama alivyodai?.
Kama ni ZIARA ya KICHAMA ni lazima awatembelee MKUU wa MKOA na MKUU wa WILAYA? wakati ziara yake ilikuwa NAMTUMBO??
Kwahiyo ina Maana vyama vya Upinzani pia wakifanya ziara zao huwa wanapewa nafasi ya kuonana na Mkuu wa Mkoa wanoutembelea na kupewa CHAI ya MOTO na MAZIWA? na TV Pembeni? halafu Kukutana na Mkuu wa WILAYA?
Ni nani anayelipia hizo GHARAMA? ni PESA za RUZUKU????
CCM ilithubutu, ikaweza na kwa sasa inasonga mbele huku ikilipa mkopo wa kura iliopewa na wananchi wapenda amani, umoja na maendeleo kupitia sanduku la kura kwa mamilioni nchini 2010.
CCM haina muda wa kurumbana na wapinzaji wanaoongoza nchi ya kufikirika kwa sababu ulaghai wao ulikataliwa na wananchi kwa mamilioni kupitia sanduku la kura kuanzia mwaka 1995.
Kwa sasa wamebaki kuzodoana na kurumbana kutokana na ulaghai wao siyo kwa wananchi peke yao bali hata wao kwa wao wamelaghaiana kwa kubadilisha vipengele kinyemela bila kuambizana kupitia vikao vyao vya kinafiki vya kinafikia na kizandiki.
Yako wapi makambi ya Red Brigades ambao yalitangazwa na viongozi wa kilaghai.
CCM inaongoza na vyama vya upinzani vitaendelea kufuata kwa nyuma,
Like it or not. Huu ndiyo ukweli halisia.
Kama hutaki, kick the wall and die.