MwanaDiwani
JF-Expert Member
- Mar 22, 2013
- 5,536
- 2,268
Ni kweli wanaoumia ni walalahoi kwenye maandamano kwa sababu huwezi kuwa na nyumba South Africa, United Kingdom, USA, Dubai and Nairobi usiweze kuweka pesa za kificho kwenye mabenki ya Seychelles, Mauritius, Malta, Gibraltar, Channel Islands Luxembourg n.k
Nadhani ndio Maana wanaweka pesa zao SALAMA huko USWISI na hakuna atakayeweza kuzijua; MWIZI na hapohapo anajua ni handaki gani la kuzifichia; na bado Unga unauzwa Mchana na Usiku...
Lakini wanaoumia ni walala hoi wanatambaa mitaani kama Uncensored Scary Scoopies... just for the sake of CCM
Huyu ndiye Mwenyekiti tajiri wa Chama Cha Siasa Tanzania ambaye hatosheki mpaka anachakachua katiba ya chama na kuairisha uchaguzi wa ndani ya chama ili aendeleze ulafi wa madaraka na pesa.
Hivi huyu Mwenyekiti tajiri alirudisha gari ya KUB kama alivyodai?.