Picha: Mwigulu akiwa jimboni Arumeru Mashariki

Picha: Mwigulu akiwa jimboni Arumeru Mashariki

Tangopori

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2012
Posts
1,628
Reaction score
1,289
Akiwa eneo la leganga karibu na Usa-river
 

Attachments

  • 1443544702149.jpg
    1443544702149.jpg
    27.5 KB · Views: 2,897
UKAWA acheni mambo yenu bana, sasa hapo ndio nini kumfanyia mwenzenu photoshop aonekane ana watu kuduchu........ha ha ha ha ha CCM watalala na viatu mwaka huu.
 
Jana Karatu baada ya kuona haeleweki alipandwa jazba akaanza matusi ya nguoni nyumbu magunzi mazezeta nk
 
Haya machadema kazi kuumbua wengine kwanini msipotezee iwe siri yenu. Mnaaibisha watu wazima
 
Mr Chin umemuona Field Marshall?
Naomba picha zaidi za huu mkutano pls!
 
Last edited by a moderator:
mtazusha sana this year ila ndio hivyo kuiondoa ccm ni ndoto za alinacha kabisaaaa.. Magufuli ndie rais
 
Huyo ndio maguru chemba yupo kwenye kampeni na amejaza watu baraa
 
bwaha, bwaha,bwaha,,, kazi ipo, mwendo wa kupiga push up. Akili ni nywele...
 
Yani hata chopa haisaidii kipini hiki?! Kweli ni hatariiiiii!
 
Back
Top Bottom