Picha: Mwigulu akiwa jimboni Arumeru Mashariki

Picha: Mwigulu akiwa jimboni Arumeru Mashariki

mtazusha sana this year ila ndio hivyo kuiondoa ccm ni ndoto za alinacha kabisaaaa.. Magufuli ndie rais

kutumia red colour ni kidhibitisho tosha mpo kwenye hatari ktk kipindi kigumu.
 
mtazusha sana this year ila ndio hivyo kuiondoa ccm ni ndoto za alinacha kabisaaaa.. Magufuli ndie rais

wewe weka bold, weka italic hata underwrite kabisa.... lakini ccm tushaipotezea kitambo
 
mtazusha sana this year ila ndio hivyo kuiondoa ccm ni ndoto za alinacha kabisaaaa.. Magufuli ndie rais

Apa ana zungumziwa mwigulu na arumeru uyo unayemtaja kaingiaje...alafu unakipaji unabishana hadi na picha
 
Jana Tanga wawaonesha kweli wao sio wajinga wa CCM
 
Sunami, mafuriko, katrina, kipunga....
 
Jamani naombeni niwape jina la hiyo chopa ya ccm,bora tuiite SENENE
 
Mimi nilidhani mikutano ya chadema watu huwa wanaenda kushangaa chopper. Kumbe chopper si issue
 
Wanatembelea nyota ya Lowassa? Wache waaibike...watatukana sanaaaa na bado..
 
Arusha si mchezo, hadanganyiki mtu huko.....wote wajanja.Siku moja nilipanda kifodi[hiace] natoka Usa kwenda Arusha mjini na ilikuwa J'5 siku ya soko Tengeru.Kuna mama watu wazima ndani ya gari walikuwa wanasema ''CCM wakinichekea nacheka nao vizuri na kuwaahidi kura yangu na wakitoa pesa napokea vizuri ila kura yangu daima hawapati'' Mwingine kauliza''hiyo si itakuwa dhambi?'' mwenzake kamwambia ''hizo pesa wanazotumia ni kodi zetu,hata ukinunua chumvi unalipa kodi bila kujua''
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom