MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Kata ya Usa River, wilayani Arumeru, Msafiri Mbwambo (38) ameuawa kwa kukatwa shingoni na kitu chenye ncha kali.[FONT=arial, sans-serif]
[/FONT]View attachment 52914
View attachment 52915
View attachment 52916
Watapatika kama Polisi wataweka pembeni siasa walizo zionyesha jana.....Kwanza natoa pole kwa wafiwa na chama cha Chadema. Jamani nawaasa sisi wananchi, tusitumike jamani na hawa wanasiasa mpaka tukafikia kiwango cha kuuana. Hii dam haitapotea hivi hivi, maana mwenye kutoa uhai wa mtu ni Mungu mwenyewe. Naamini watu hawa watapatikana tu. Aisee Tanzania tunaelekea wapi sasa?
Hawa wezi kutu maliza lengolao ni kututisha ili watakapo kuja na sera ya amani watu wawa amini hawajui kuwa watanzania wa 1995 nitofauti sana na wa 2012, watanzania hata usipo watajia muuaji watajua ni nani kahsika, watanzania si wajinga tena kiasi hicho jana mbunge wa geita amefukuzwa na wananchi baada ya kutaka kuwadanga waziwazi lakini CCM hawajifunzi....Mmi naona chadema wanahujumiwa sana na nia yao ni kuwamaliza kabisa
Mmi naona chadema wanahujumiwa sana na nia yao ni kuwamaliza kabisa