Picha: Muvi mpya ya Anna Tibaijuka

Picha: Muvi mpya ya Anna Tibaijuka

Watu wanamipAngo ya kurudisha heshima. Hahahahaa
 
Kweli CCM ni chama cha kisanii kabisa. Makada wake wote wanajua kuigiza na kuandaa maigizo tena ya kishamba kabisa, kwa mfano.
1/Profesa Tibaijuka anaigiza life style za mlalahoi, lakini maisha yake ni ya Mboga ya Milioni 10, Kusafiria ndege ya rais tena akiwa mwenyewe kwenda kutembea tu Bukoba nk. Style ya kupanda bodaboda nadhani Professa ameiiga kutoka kwa Dr.Hamisi Kigwangwalla.

2/Lowassa yeye analeta mpaka masheikh ubwabwa na wachungaji kwenda kumshawishi kugombea urais.

3/Kinana na Maigizo yake ya kubeba matofali kama kibarua wa kujenga nyumba. Kanumba mwenyewe hamfikii kinana.

4/Mwigulu na movie zake za kigaidi kama Harrison Fod
 
Siasa iacheni iendelee kuwa siasa mchezo mchafu. Kwa mantiki hiyo maendeleo yatabaki duni tutabaku na hadaa ya wanasiasa hukh tukushangilia na kupewa hela za pipi na kuwa tayari hata eti kumwaga damu ili kumfurahisha mwanasiasa anaekuwa maarufu kuhadaa wananchi. Huku familia zao zikiwa zinataka na kusaza huku sie tunaohadaiwa tunalala hoi na kujiona washindi
 
Ni wapuuzi tu hao, hawafai hata chembe. Wakiwa kwenye mazingira flani wanajifanya kujinyenyekeza sana ili kuchota akili za wajinga.

Mtu km Pinda anajifanyaga kujinyenyekeza kwa raia na kujiita eti mtoto wa mkulima wakati ni unafiki mtupu! Angekuwa mzalendo wa kweli ilibidi akatae kulupwa mshahara wa TWENTY SOMETHING MILLIONS na akalipwa walau milion moja tu kwa mwezi.

Nape na mwenzie Kinana, wanajifanya watetezi wa raia na mda mwingine wanafikia hata hatua ya kuwakashfu viongoz wenzao wa CCM eti hawafanyi kazi sawia kumbe ni kujitafutia ujiko tu. Mnajifanya kushika hta majembe, miiko ya kujengea ni UNAFIKI MTUPU! Hiyo ndege mnayotumia inagharimu MAMILION ya pesa kila siku. Hizo pesa zingefanya kaz ngapi za maendeleo?
 
Mnafiki nani atakayeinununa? Akaangalie na familia yake
 
Nahitaji nakala yangu jamani kwa mwenye nayo wapi zinauzwa
 
Kama mboga yake anainunua kwa millioni 10, ni muhimu akachakarika ili arudi tena bungeni la sivyo atakufa haraka akiukosa huo Ubunge.

Tiba
 
Back
Top Bottom