Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,407
- 13,791
Wacha we
Hizo suruali sasa hahahahahahah! sarawiliView attachment 730383 Prof Mwandosya- kushoto kwako
Anataka kuelekea juu....Ameshika mti..!
Kusingekuwepo mti ila kungekuwa na ukuta angeshika.....!
Pozi la wasira hatari
Zaidi kamfanana MirajiKikwete Riz mock mtupu.
Mkapa junior ndio yupi mkuuMkapa junior ambaye wamekutana katoke kamfanya kujulikana kwa senior na kunshawishi mambo mengine ya siasa
Hahaha