Picha muhimu: Vijana wa zamani

Picha muhimu: Vijana wa zamani

Hawa hapa wengine
16807575_1285863184826173_6418859702286424835_n.jpg
23755477_520357894982819_6150100119546175676_n.jpg
17361901_1857320207868784_6609256680350164643_n.jpg
23755477_520357894982819_6150100119546175676_n.jpg
23795097_520679811617294_4206991217348893325_n.jpg
jomo family.jpg
magufuli xl.jpg
 
Rip. Moringe sokoine. Nakumbuka ulikua wakati wa Easter kama huu, mwaka ule 1984. Sikuamini Masikioyangu. Then kesho yake Tukaenda kukuaga pale Karimjee Hall . I was class 7student at oyster bay primary school. Kina kinje Ngombale, (Ipi malecela RIP) josam warioba. Geoffrey chiduo, mariogo, Jerry Berege, Maria Sarungi, and many more.
 
[emoji17][emoji17][emoji17]
 
hivi nani alikua nyuma ya mvhakato mpaka magufuli akaingia kwenye system? yani namaanisha kabla hata hajawa mbunge... wazazi wake walikua wanafanya kazi gani? wamewah shika nyadhifa zozote serikalini?
twende kwa mtindo huu...

kabla hujaijua 'a' ilikuwepo 'b' na kabla ya 'b' ilikuepo c, d, na kuendelea sasa chukulia 'a' ndio awe magufuli je b, c, d, na kuendelea atakuwa nani?
 
Mkapa junior ambaye wamekutana katoke kamfanya kujulikana kwa senior na kunshawishi mambo mengine ya siasa
 
Back
Top Bottom