Picha: Mtu anusurika kifo Burundi kwa msaada wa jeshi

Picha: Mtu anusurika kifo Burundi kwa msaada wa jeshi

chakufia nini

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2015
Posts
692
Reaction score
456
Jean Claude Niyonzima, a suspected member of the ruling party's Imbonerakure youth militia, is restrained as a mob gathers around his house, as protests continue against President Pierre Nkurunziza's decision to seek a third term in office in the Cibitoke district of Bujumbura, Burundi on May 7, 2015.

1.anakamatwa na kuanza kushushiwa kipondo.
7abf0640e9644cf2807677360c8b0a5b-ce9d09dd81d046bf894850311d844b51-0.jpg


2.hapa kama wanaua nyoka vile

7abf0640e9644cf2807677360c8b0a5b-ce9d09dd81d046bf894850311d844b51-1.jpg


3.hapa kaona dawa ni kutafuta pa kutokea
7abf0640e9644cf2807677360c8b0a5b-ce9d09dd81d046bf894850311d844b51-3.jpg


4.jamaa wanataka wafungue bucha
7abf0640e9644cf2807677360c8b0a5b-ce9d09dd81d046bf894850311d844b51-4.jpg


5.wajeshi wakafika kumuokoa
7abf0640e9644cf2807677360c8b0a5b-ce9d09dd81d046bf894850311d844b51-5.jpg


6.haamini kama kapona
7abf0640e9644cf2807677360c8b0a5b-ce9d09dd81d046bf894850311d844b51-6.jpg
 
Hebu waombe mods warekebishe title...

Kuandika "Niyonzima alivyonusurika kifo" kutawafanya Watanzania wengi wadhani ni yule kiungo mchezeshaji wa Yanga SC...
 
Interahamwe ni hatari saaana, ila kipondo walichokitoa washkaj ni heavy na kizur saaana
 
Mpiga picha unaonekana ulikua karibu sana na tukio. Ulifanya jitihada gani kumuokoa mhanga?
 
Mpiga picha unaonekana ulikua karibu sana na tukio. Ulifanya jitihada gani kumuokoa mhanga?

Are you serious? Ila hao vijana waliotaka kumuua wanatakiwa wakamatwe na kufikishwa mahakamani - kama Burundi wana mahakama kweli ambazo sio za kisanii.

Ukweli ni kwamba hata hapa kwetu Tanzania, tukichezea amani tuliyo nayo na kupuuza utawala wa sheria, haya yanaweza kutokea. Inawezekana kabisa tukio hilo likawa ni CCM Vs Chadema hapa kwetu, kama tusipokuwa waangalifu. Viongozi wetu, hasa waliopo madarakani, wanapaswa kulitambua hilo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom