Nukta5
JF-Expert Member
- Jun 7, 2014
- 1,182
- 1,282
Je spare parts za hiyo gari zinaatikana kiurahisi??. Asanteni
Ahsante sana ndugu kwa kunipa mwangazamm ninavyojua, hiyo kodi haitakuwa tofauti lakin inaweza kubadilika kidogo kulingana na exchange rate za siku husika. kumbuka kutakuwa na kiasi cha kumlipa wakala wa forodha kwa ajili ya kufanya clearance ya gari lako(charge hiyo inakuwa n makubaliano yako na wakala).
Pamoja na gharama za bandari kama laki 3.5 au 4.Ahsante sana ndugu kwa kunipa mwangaza
Ahsante mkuu ila nimeselect zote inspection pamoja na insurance ndo ikanipa hiyo price sijui kama nitakua nimekoseaHiyo bei ya kwenye mtandao imeandikwa C&F kwa hiyo hapo utatakiwa kulipa hela kwa ajili ya Inspection. Ingeandikwa CIF usingehitajika kulipa Inspection.
Daa nashukuru sana mkuu kwa ushauri nilishindwa nichague ipi nikaona hiyo body type ni wagon,Nikiangalia details ulizoingiza kwenye hiyo calculator siyo za VW golf bali ni za VW touran ambayo ni body type ya wagon.
Nakushauri uingize vizuri details za VW Golf kupata kodi sahihi. Body type ya Golf ni Hatchback.
Kingine cha ziada mara nyingi unapoagiza gari zingatia mwaka. Ukiagiza gari la mwaka 2006 ni nafuu zaidi kuliko la mwaka 2007 na pia nafuu zaidi kuliko la mwaka 2005. Fanya majiribio kwenye hiyo hiyo calculator utaona utofauti mkubwa wa kodi na saving kubwa unaweza kuipata kwa kuagiza gari la mwaka 2006 hii ni kwa gari aina yeyote ile.