Picha, msaada: Gari aina ya Noah T 896 DGA imeibiwa

Picha, msaada: Gari aina ya Noah T 896 DGA imeibiwa

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
21,369
Reaction score
27,785
Wapenzi wangu niombeeni.

Tumevamiwa usiku wa leo na nimeibiwa gari langu na mpaka sasa hivi tumeshindwa kutoka ndani, tulifungiwa kwa nje, majirani wanasaidia kubomoa makufuli.

Wapendwa wetu tumeibiwa Gari aina ya Noah T896 DGA. Maeneo ya Mbezi Mpiji Magohe. Tunaomba mtusaidie kurusha kwa magroup inaweza kutusaidia kulipata.

Namba za simu ni 0713 600 223 AU 0786 630 066

IMG-20161124-WA0012.jpeg
IMG-20161124-WA0011.jpeg
 
Mshana jr kwa kazi yako na ufanisi wako kazini, naomba umsaidie huyu mwanaJF mwenzetu please
 
Pole mkuu. Shukuru Mungu uko salama, gari ripoti polisi waachie wahangaike nalo wewe fuatilia insurance tu. Zama hizi ni vizuri kujizatiti kwenye insurance kuliko kuhangaika na hawa polisi wetu unaweza kujikuta unapoteza tena hela nyingi na gari usiipate.
 
Wapenzi wangu niombeeni.

tumevamiwa usiku wa leo na nimeibiwa Gari langu na mpaka sasa hivi tumeshindwa Kutoka ndani.tulifungiwa kwa nje majirani wanasaidia kubomoa makufuli.

Wapendwa wetu tumeibiwa Gari aina ya Noah T896 DGA.Maeneo ya mbezi mpiji magohe
Tunaomba mtusaidie kurusha kwa magroup inaweza kutusaidia kulipata.

Namba za simu ni 0713 600 223 AU 0786 630 066

View attachment 438877View attachment 438878
......Kama waliondoka nalo ghafla kuna uwezekano mkubwa walikuwa na funguo BANDIA.
Au kama kuna mtu yeyote aliwahi kushika funguo za hiyo gari ahojiwe....
....mafundi
...etc
 
Viongozi wasipokuwa makini taifa retu muda sio mrefu kitawaka hii njaa imekuwa kubwa sana
Mbona tunatishana!? Maana nimesoma hapa kuwa bosi wa polisi naye anawalaumu viongozi kwa kuingiza siasa kwenye masuala nyeti. Au ndio majambazi nao wana take advantage hiyo!
 
Mbona tunatishana!? Maana nimesoma hapa kuwa bosi wa polisi naye anawalaumu viongozi kwa kuingiza siasa kwenye masuala nyeti. Au ndio majambazi nao wana take advantage hiyo!
Wako bize na shisha ngoja majambazi watufunze adabu hatua ya kuingia Ndani kuiba Gari sio ya mchezo kabisa
 
Pole mkuu. Shukuru Mungu uko salama, gari ripoti polisi waachie wahangaike nalo wewe fuatilia insurance tu. Zama hizi ni vizuri kujizatiti kwenye insurance kuliko kuhangaika na hawa polisi wetu unaweza kujikuta unapoteza tena hela nyingi na gari usiipate.

Watu wengi wanakata third party,wakiibiwa inabidi walie na polisi tu.
 
Wapenzi wangu niombeeni.

tumevamiwa usiku wa leo na nimeibiwa Gari langu na mpaka sasa hivi tumeshindwa Kutoka ndani.tulifungiwa kwa nje majirani wanasaidia kubomoa makufuli.

Wapendwa wetu tumeibiwa Gari aina ya Noah T896 DGA.Maeneo ya mbezi mpiji magohe
Tunaomba mtusaidie kurusha kwa magroup inaweza kutusaidia kulipata.

Namba za simu ni 0713 600 223 AU 0786 630 066

View attachment 438877View attachment 438878
Wamebanwa kwenye matumizi ya silaha sasa njaa kali wameamua kugeukia kuimba magari, mwenyezi Mungu atawaona,
Pole sana mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom