Picha, msaada: Gari aina ya Noah T 896 DGA imeibiwa

Picha, msaada: Gari aina ya Noah T 896 DGA imeibiwa

yaani inabidi mtu ulale ndani ya gari sasa
gari zenyewe mkopo
Ukose usingizi wakati kuna insurance? Kitu cha mwisho kufikiria ni gari kuibwa,tena wezi watakuwa wamenisaidia kubadili gari.
 
Ukutebbima yenyewe magumashi hizi za kariakoo,utaisoma namba
 
Duuh polee.. wizii umerudi wa magari hadi majumbani, pole sana..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom