Picha, msaada: Gari aina ya Noah T 896 DGA imeibiwa

Picha, msaada: Gari aina ya Noah T 896 DGA imeibiwa

Mbona tunatishana!? Maana nimesoma hapa kuwa bosi wa polisi naye anawalaumu viongozi kwa kuingiza siasa kwenye masuala nyeti. Au ndio majambazi nao wana take advantage hiyo!
Ndio maana niliachana na magari ya Japan, funguo unaweza cheza nazo unavyotaka. Gari la mkoloni huwezi, huko alishatoka.
 
Uwizi wa magari umerudi kwa kasi sana speed ya mwendokasi....

OVA
 
Thanks mkuu ila ni taarifa tu nimeileta, gari siyo yangu ndugu
Mkuu nahisi ww ni askari kitengo.cha magari maana info nyingi za magari kuibiwa huanzia kwako. Good work bro.
 
..kwa njaa iliyopo nchini wizi wa namna hii utatamalaki...hata ndugu wataanza kuibiana...sitoshangaa kusikia ndugu wanahusika kwenye wizi huu...maana hali mbaya mno......
 
Wezi wa magari jamani awamu ya 5 ilinde raia wake na Mali zao
 
Kwa bonge vitenge ndio wewe? Au ndugu yake? Pole sana. By the way napenda unavyowapasha watu insta. Nitakuungisha kitenge siku moja. Nakuombea gari yako ipatikane.
 
Pole sana bro,Mungu atakurudishia.

Kwa usalama kama nyumba yako ina grill na nje kuna sehemu ya kufuli hakikisha kufuli linalala pale ili mtu asiweze kukufungia akiwa nje.

Pia Nenda kanisa la Walokole wakuombee gari litarudi .
 
Pole mkuu. Shukuru Mungu uko salama, gari ripoti polisi waachie wahangaike nalo wewe fuatilia insurance tu. Zama hizi ni vizuri kujizatiti kwenye insurance kuliko kuhangaika na hawa polisi wetu unaweza kujikuta unapoteza tena hela nyingi na gari usiipate.

so kama mtu amekata bima kubwa, anaweza kulipwa hata kma gari yke imeibiwa???
 
Watanzania tupende bima,kufanya kazi,na hawa wezi ni vijana wanaopenda kuishi maisha ya Zari na Diamond bila ku toil
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom