View attachment 188545
President Jakaya Mrisho Kikwete and CNN's Richard Quest and Maggie Lake when he visited CNN Studios at the Time Warner Building in New York. This is where Richard Quest produces his world famous "Quest Means Business Programmes"
Mkuu naomba utafakari kichwa cha habari ndipo utanielewa vizuri - Hiyo picha ni sawa na Obama kupiga picha na Deo Rweyunga!Jamaa ni BISHOOO tu!! Huko marekani hao ni jamaa wa kawaida sana Rais wa maana asingepoteza muda kupiga nao picha. Yote hiyo kujikosha eti yuko kazini! Marais wa maana wanaojali watu wao kama Ian Khama wa Botswana wanafikiria kwanza faida na hasara kwa nchi zao kabla ya uamuzi wa kufunga safari zinazoteketeza fedha za nchi zao; lakini huyu wetu hilo halimo kwenye akili yake.
nini unasema? Sawa na nani kupiga picha na nani? Au una maanisha sawa na Obama kunywa kahawa kibarazani kwakoMkuu naomba utafakari kichwa cha habari ndipo utanielewa vizuri - Hiyo picha ni sawa na Obama kupiga picha na Deo Rweyunga!