Picha:mnyika kabla hajawa mbunge..

Picha:mnyika kabla hajawa mbunge..

msafwa93

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2011
Posts
4,840
Reaction score
6,141
1011576_560271317368681_2116201924_n.jpg

HAPO PANA NA JOHN MNYIKA NA MBOWE..


>>WAKUU SIJAWEKA PICHA HII KWA NIA YA KUMDHIHAKI MNYIKA ILA NI KWA NIA YA KUWA INSPIRE VIJANA WENZANGU WAJUE KUA POPOTE WALIPO IPO SIKU WANAWEZA KUFIKA WATAKAPO...

>>NAONA KUNA WACHANGIAJI WANATAKA KUBADILI MAANA KWASABABU YA MICHANGO YA KIJINGA YA AKINA
@Zemarcopolo
 
Imetulia enzi hizo jembe anatafakari cha kufanya.
watu hatutakiwi kukata tamaa big up my political role modal.
NAKUTAKIA MAFANIKIO ZAIDI.
 
Tatizo liko wapo? Mbona Slaa kajiunga chadema jumatatu na ijumaa amekuwa mgombea urais?

jiongeze wewe.Licha ya kwamba sina uhakika na hoja yako,lakini mmoja akinya sebuleni na wewe unakunya sebuleni kisa mwenzako kafanya.akili za kutazamia changanya an zako!
 
Ubunge mtamu,sasa ndio nimejua sababu ya vijana kujitosa kwenye siasa. Dogo alikua choka mbaya namna hii. Siku hizi kajua hata kuvaa vizuri.
 
umeona eh.sasa vijan wa leo wanataka kujiunga na Chama jumatatu na ijumaa wagombee ubunge!

Wakati huo hata huyo Mwigulu sijui alikuwa anachomea wapi mahindi.....sasa hivi anajiona mjuaji.
 
Back
Top Bottom