Picha: Mmiliki wa Home shopping centre

Hii ni Chuki tu Kama Suala ni Tuhuma Kwa Nini Amwagiwe Tindikali??? Mfano Wangapi wamewahi kuwa na Tuhuma Mbali Mbali Nchi Hii Walimwagiwa Tindikali?? Fungueni Macho! Fungueni Akili! Acheni Chuki na Fitna Wapo Watu Kwenye PAYROLL wamefungua Akaunti JF,kuna Media Houses nk nk Ambazo Zimepewa Kazi Maalum Ya Kuchafua HSC lengo Atoke Kwenye Biashara ,Watoto wa Mjini Atoke kwenye Reli ,Yataandikwa Mengi SENSATIONALY lakini Ukweli UTATAMALAKI.------- "SYNDICATE" hii ya Uovu Kamwe Haitoushinda Ukweli Juzi juzi Imevumishwa Kontena za HSC zimekamatwa Bandarini Wakati Ukweli ni za Wafanyabiashara Tofauti zaidi ya 2000 KAMISHNA WA FORODHA amethibitisha Hilo!! Baadhi ya Watu walio kwenye Payroll ya UDHALIMU wakionyesha ni za HSC nendeni TRA mkathibitishe kama ni zao! Mnadanganya watu kwenye Mitandao Kujenga CHUKI tu,Fitna tu! Mnatumiwa Pasina Kujua kwa Chuki za Kibiashara tu.--------- Hivi Hawa Vijana Imekuwa Dhambi kuwa Wabunifu wakitafuta RIZKI!? Wanachukiwa kwa Mafanikio yao?? Wangapi walikuwa a Nothing Miaka 20 Iliyopita Leo ni Matycoon Nchi Hii?? Hamuwaoni?? Imekuwa Nongwa Kwao Kupata Utajiri kwa Wengine Ndio Halali???

kipasta mbona tunasikia jamaa eti anawatoboa wanaume wenzake huku akiwa kawashikia bastola?
 
Last edited by a moderator:
Hapa ndio mnaponishangaza nyie wenyewe hapa tu hamjaweka picha zenu na bado mnataka za wenzenu. Duh kweli wabongo umbea kazi yenu..
Huyu ni mfanyabishari kubwa......lazima tumjue
 
bora mtuambie mabaya yake maana tusije kumuonea huruma kumbe hana haki ya kuonewa huruma
 
Picha yake aliyomwagiwa tindikali ninayo.........ila si vyema niiweke humu jamvini.
Nitakuwa sijamtendea haki.
 
kwani huyu jamaa ni mfadhili wa ccm ??? Mbona anachukiwa sana
 
Muulize Ritz atakuwa nazo pengine. Otherwise pigia simu HSC makao makuu....
 
Last edited by a moderator:
Hii ni Chuki tu Kama Suala ni Tuhuma Kwa Nini Amwagiwe Tindikali??? Mfano Wangapi wamewahi kuwa na Tuhuma Mbali Mbali Nchi Hii Walimwagiwa Tindikali?? Fungueni Macho! Fungueni Akili! Acheni Chuki na Fitna Wapo Watu Kwenye PAYROLL wamefungua Akaunti JF,kuna Media Houses nk nk Ambazo Zimepewa Kazi Maalum Ya Kuchafua HSC lengo Atoke Kwenye Biashara ,Watoto wa Mjini Atoke kwenye Reli ,Yataandikwa Mengi SENSATIONALY lakini Ukweli UTATAMALAKI.------- "SYNDICATE" hii ya Uovu Kamwe Haitoushinda Ukweli Juzi juzi Imevumishwa Kontena za HSC zimekamatwa Bandarini Wakati Ukweli ni za Wafanyabiashara Tofauti zaidi ya 2000 KAMISHNA WA FORODHA amethibitisha Hilo!! Baadhi ya Watu walio kwenye Payroll ya UDHALIMU wakionyesha ni za HSC nendeni TRA mkathibitishe kama ni zao! Mnadanganya watu kwenye Mitandao Kujenga CHUKI tu,Fitna tu! Mnatumiwa Pasina Kujua kwa Chuki za Kibiashara tu.--------- Hivi Hawa Vijana Imekuwa Dhambi kuwa Wabunifu wakitafuta RIZKI!? Wanachukiwa kwa Mafanikio yao?? Wangapi walikuwa a Nothing Miaka 20 Iliyopita Leo ni Matycoon Nchi Hii?? Hamuwaoni?? Imekuwa Nongwa Kwao Kupata Utajiri kwa Wengine Ndio Halali???

Kwa hiyo na wewe unatumika kumtetea?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom