hebu nitajie hiyo nyingine unayoijua, naona unaning'ang'ani kwelikweli
ALL PICTURES BY heaven on desert
instagram @ kifesi
official diamond's
blogger and photographer
Last edited by a moderator:
hebu nitajie hiyo nyingine unayoijua, naona unaning'ang'ani kwelikweli
Ulimchukia kwa kujilazimisha that's why umejikuta unampendaAlafu nimeanza kuhisi diamond kweli ni freemason kama watu wasemavyo,nilikuwa namchukua lkn siku hizi ghafla nimekuwa shabiki wake
Kajaribu kwa mwarabu uone kama hatakupaka ufutaHao walinzi wao hata hawaaminiki,yule wa dully sykes wanayemuita Arafat Ngumi jiwe,watoto wadogo wa kitaa wamemfanyia yao mixer kumrekodi mpaka wakamtupia youtube.
Miili mikubwa ila wacameron.
"Nlikiwepo":bolt: