hopetumaini
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 529
- 318
Mkuu ubarikiwe sana hii Misukule kinafanya kazj ya kujifariji tu hapa haya we Kimburukutu mdanganyifu kuja hapa utwambie kwanini utuwekee picha kabla kiongozi hajafika kuhutubia??
Mods kama mko fair tafadhari pandisheni hii picha hapo juu kwa kwa huyu mnafki mleta mada.
cc Invisible Moderator
BACK TANGANYIKA
uliyepost hii picha huna akili.huu ni mkutano wa act na sio ukawa mwanza.tumia akiki tulikuwepo.sisi sio watoti wa kudanganywaLeo nilikuwa Mwanza, nikakutana na mkutano wa Ukawa..... Kwa waliokuwepo waliniambia utahutubiwa na Maalim Seif, ni mkutano wa Ukawa Japokuwa niliona bendera za vyama viwili tu Cuf na Chadema. Nccr wanijiweka nyuma au ni wazembe wenyewe ( nilijiuliza. Cha kusisimua Zaidi ni idadi ya watu. Tazama Picha.
Kitaalam:kivuli cha kitu kinapokuwa upande Wa kushoto mwa kitu kilichopigwa picha (object) maana yake jua lilikuwa mashariki yaani upande Wa kulia hivyo huwa ni asubuhi. Katika picha hii tazama kivuli cha toroli hapo utagundua picha ilipigwa majira ya saa tano kuelekea sita. Kwa kuwa kivuli hicho kipo upande Wa kushoto hivyo jua lilikuwa upande Wa kulia ( mashariki)
Mnatuletea picha za uchaguzi wa mwaka 2010. Acheni uongo.
Huyu jamaa kapiga picha labda saa tano wakati dmda wa mkutano ulikuwa kuanzia saa nane. Asidanganye umma mimi mwenyewe nilikuwa kiwanjani watu walikuwa wengi sana.
Act wanatumia Bendera za Chadema na Cuf siku hizi??? Umeshindwa hata kuzoom??
Kitaalam:kivuli cha kitu kinapokuwa upande Wa kushoto mwa kitu kilichopigwa picha (object) maana yake jua lilikuwa mashariki yaani upande Wa kulia hivyo huwa ni asubuhi. Katika picha hii tazama kivuli cha toroli hapo utagundua picha ilipigwa majira ya saa tano kuelekea sita. Kwa kuwa kivuli hicho kipo upande Wa kushoto hivyo jua lilikuwa upande Wa kulia ( mashariki)
Kitaalam:kivuli cha kitu kinapokuwa upande Wa kushoto mwa kitu kilichopigwa picha (object) maana yake jua lilikuwa mashariki yaani upande Wa kulia hivyo huwa ni asubuhi. Katika picha hii tazama kivuli cha toroli hapo utagundua picha ilipigwa majira ya saa tano kuelekea sita. Kwa kuwa kivuli hicho kipo upande Wa kushoto hivyo jua lilikuwa upande Wa kulia ( mashariki)
Picha nimeipiga Saa Tisa mchana leo kwa kutumia simu ya Mwenzangu, yangu haikuwa na chaji nikajitumia kwa Whaatsap nikasogea sehemu maarufu inaitwa Villa nikatia simu chaji nikaileta humu. Hata hivyo hakuna ubaya nimezungumzia Nyomi mliyojaza tu.
Leo nilikuwa Mwanza, nikakutana na mkutano wa Ukawa..... Kwa waliokuwepo waliniambia utahutubiwa na Maalim Seif, ni mkutano wa Ukawa Japokuwa niliona bendera za vyama viwili tu Cuf na Chadema. Nccr wanijiweka nyuma au ni wazembe wenyewe ( nilijiuliza. Cha kusisimua Zaidi ni idadi ya watu. Tazama Picha.