Huwezi kushindana na mabadiliko
Huwezi kushindana na mabadiliko
Hii picha ni cuf ya mwaka 2010 .
Hayo maneno kawaeleze lumumba upate buku 7 ya msosi,huku ukawa unazidi kuwateketeza
Mnatuletea picha za uchaguzi wa mwaka 2010. Acheni uongo.
Kule lumumba kalenda zenu bado zinasema leo ni mwaka 2010?basi kama ni hivyo lumumba wote mtakuwa tayari mmeshachanganyikiwa na mnasumbuliwa na ugonjwa unaoitwa UKAWA
Ukawa ni wanafiki na waongo
Wanafiki ni ccm wanaojinadi wanamuenzi mwalimu nyerere,huku wakitenda yale mambo aliyokuwa anayapinga,na kwa sasa mmeigeuza nyerere day kuwa siku ya mapumziko na si kuenzi yale mema aliyokuwa akiyatenda
Huwezi kushindana na mabadiliko
mkutano wa Ukawa mwanza ulidoda
umekata mzizi wa uzandiki,
ndo mana umeitwa mume wa mtu,,mi naongeza we ni mume wa wazandiki wote
mkutano wa Ukawa mwanza ulidoda
Huwezi kushindana na mabadiliko
Leo nilikuwa Mwanza, nikakutana na mkutano wa Ukawa..... Kwa waliokuwepo waliniambia utahutubiwa na Maalim Seif, ni mkutano wa Ukawa Japokuwa niliona bendera za vyama viwili tu Cuf na Chadema. Nccr wanijiweka nyuma au ni wazembe wenyewe ( nilijiuliza. Cha kusisimua Zaidi ni idadi ya watu. Tazama Picha.
![]()