kambitza
JF-Expert Member
- Jul 24, 2013
- 2,045
- 1,325
- Thread starter
- #61
Ili kuonyesha uhalisia mpiga picha angepiga picha viongozi wakihutubia then aje na maneno yake hayo, watu wakiandaa jukwaa la mikutano wanapigwa picha kana kwamba ndiyo mkutano wenyewe...sasa anayefanya hivyo ni kwa manufaa ya nanii, wananchi wanielewa UKAWA, wanaipenda na wanawaunga mkono. Matumbo ya ufisadi na dhuluma saa hizi imevurugika.
Hakikuwa kipindi cha kuandaa majukwaa, majukwaa yalishafungwa, wafunge jukwaa saa tisa??