Wewe anza kujibu kwanza, maana ndio ulianza na blank allegation kwamba hawa jamaa (meaning) CUF wenye akili timamu wanajua wanfanya siasa za aina gani? nami nikakujibu kuwa hata sisi CUF wenye akili timamu tunajua nyinyi mnaendesha siasa za namna gani?
Hembu anza wewe kujibu ni siasa zipi nyie wenye akili timamu mnazijua cuf wanafanya??
Tatizo lako hueleweki mkuu..
Kama una differ na maalim na Jussa kama viongozi wa CUF na siyo CUF as an Institution tuko pamoja kwasababu hata mimi nina reservation zangu nyingi kwa viongozi kadhaa wa ccm na cuf hiyo ni kawaida ..ukitaka kwenda beyond that sintakuelewa CUF ni insitutiton yenye watu wengi sana na kila mkoa..
Kama ambavyo mimi nina reservation na Slaa na JJ Mnyika siyo na Chadema kama Insitution ikitaka ni kwanini huo ni mjadala mwingine kabisa..tunaongelea instutitions..na viongozi wake wanasimamia nini na wanaonaje wananchi wengine; kama ambavyo wewe unawaona maalim na jussa kama vile hawawapendi watanganyika; mimi namuona Slaa na Mnyika kwa wasalaiti wakubwa kwa waislamu wa Tanzania kwa kutumia institutions kama sehemu yao ya kudandia..na their ill-intentions..
Chadema haitosaidia MoU; ina fact watawaongezea kanisa deal zingine sasa sijui unapiga kelele za nini uko kwenye very wrong personalities na institution..
Mkuu mbona unaweka maneno yako kwangu; mimi sijasema kwamba Jussa na Seif wanawasaliti waislam NO! nimesema nina reservation kama viongozi wa CUF kama taasisi ya kisiasa period! kama ambavyo nina reservation kwa viongozi wa chadema Slaa na Mnyika..
oh unaniuliza kwa vipi Dr. Slaa anausaliti waislam na uislam, mkuu nimeshaenda ofisini kwake mara nyingi tumeongea mambo ya siasa na dini ana chuki ya kufa mtu na uislam ..
Hata kanzu kama yako zilikuwepo una tatizo na hilo vazi kwenye avatar yako??
Of course it is very hard to draw a single line between Chadema and Christianity..too
Hata sisi wenye akili timamu tunajua siasa wanazoendesha chadema; tunajua mna ajenda gani kuhusu zanzibar, tunajua mansukumwa na mna ajenda gani kuhusu uislam na waislam..
msidhani mnawaweza kuficha tena, too late bro
Sasa kama CUF wanakimbia na wanachama si ingekuwa furaha kwenu chadema? mbona kila kukicha mko juu kuwaita majina??
Nafikiri wamewashika pabaya that is why mnaota CUF badala ya kuhangaika na CCM, otherwise uniambie mnahangaika na CUF kwasababu ya uislam wao? na nyie na ukristo wenu??
Ha ha ha
Wewe ndio hujui siasa kweli, kwahiyo Bukoba CUF iliondoka kisa kaondoka Lwakatare?? mistake kupata wabunge ndio kila kitu unadhani uliza kuna wenyevit wa mtaa na kijiji wangapi Tanzania Bara nzima second after CCM..upo?
Chadema ni wimbo mpya na kupata wabaunge wengi safari haina maana CUF haitapata chaguzi zijazo? mistake (or rather wishingfull thinking)
Chadema cha cha Wakristo, hakina hata mwenyekiti wa mtaa maeneo ya waislam na zanzibar? wakristo na ukristo mtupu embu angalia wanavyo sema ovyo kuhusu madai ya waislam wa Tanzania na ku-support matamko ya maaskofu..lol (you can't fool people all the time)
CUF siyo chama cha waislam ni chama cha Watanzania wote; Zanzibar, Pemba, Lindi, Bukoba, Dodoma etc.. pia... kipi kigumu hapo kuelewa??
Ha ha ha
Wewe ndio hujui siasa kweli, kwahiyo Bukoba CUF iliondoka kisa kaondoka Lwakatare?? mistake kupata wabunge ndio kila kitu unadhani uliza kuna wenyevit wa mtaa na kijiji wangapi Tanzania Bara nzima second after CCM..upo?
Chadema ni wimbo mpya na kupata wabaunge wengi safari haina maana CUF haitapata chaguzi zijazo? mistake (or rather wishingfull thinking)
Chadema cha cha Wakristo, hakina hata mwenyekiti wa mtaa maeneo ya waislam na zanzibar? wakristo na ukristo mtupu embu angalia wanavyo sema ovyo kuhusu madai ya waislam wa Tanzania na ku-support matamko ya maaskofu..lol (you can't fool people all the time)
CUF siyo chama cha waislam ni chama cha Watanzania wote; Zanzibar, Pemba, Lindi, Bukoba, Dodoma etc.. pia... kipi kigumu hapo kuelewa??
Nakushukuru kwa kuliona hili hata mi nadhani MTATIRO bado ni mgeni wa siasa na wasipomweka sawa ataua chama kwani mara nyingi anakuwa hana hata Point ila analazimisha tu kupata umaarufu.My conclusion kumbe mtatiro ni kilaza.. Anaendeshwa na mkumbo wa maalim seif
kushahadia pekee haikurudishi ktk uislaam ni sawa na kukubali (shahada) ulipotoka na sasa unarudi ktk njia ongofu..lakini kama hutajisalimisha kwa mola wako kwa kufuata njia ongofu ati kwa sababu tu ulishadia unajidanganya mwenyewe..
Lazima ufuate uislaam unavyotakiwa hakuna excuse zaidi ya zile zilizoorodheshwa... Hao wa libya na wasyria utawaita waislaam walioasi wakati wanafanya kufur kubwa tuuite ati uasi.. Huwezi kuacha ibada kubwa ukisema kesho nitarudi ktk uislaam mwenyezi mungu sii wa kuchezea kama unaingia kuoga maji ukichafuka. Na ndio maana mtume akasema kama wewe husali huna tofauti na kafir ikiwa na maana zipo sifa zinazokufanya wewe uwe muislaam na neno total submission lina maana kubwa zaidi ya kutoa shahada. Huapishwi uraia mkuu wangu hii ni imani ya mungu, dini sio uraia.
pili maana ya shahada ni kushuhudia na kukubali kwamba hakuna mola apaswaye kuabudiwa kwa haki isipokuwa mwenyezi mungu na usipomuabudu shaha yako haina kazi maana huyo ustadhi ni shahidi tu wa kwamba uliukubali uislaam kama hutautuafata hiyo ni kesi yako na huyu siku ya siku atakuwa shahidi dhidi yako wewe. Hakuna sababu ya huo ustadhi maana hawa watu hawakuniamini mimi hivyo wewe chukua darsa kutoka kwangu. Bongo mambo mengi sana mnadanganyana..
Mkuu naelewa sana na nimesema hivyo kutokana na dhana ya Ngekewa. Madai yake ni kwamba ukishamkubali Mwenyezi Mungu na mtume wake (shahada) basi wewe tayari ni Muislaam hivyo mengine yote ya kuasi na hayakuondoi ktk Uislaam ila pale tu unapofanya kufur. Na ndio nakamtalia maneno hayo maana wengi tulifundishwa hivyo na tukaaminishwa hivyo..mkandara hii shahada(hapo rangi nyekundu) mbona haitambuliki ktk uislamu? Shahada hii ni yako wewe? Na ni ya dini ipi? Jamani hata dini mnachakachua!
Shahada ya uislamu ni hii hapa: Hakuna mola apasae kuabudiwa kwa haki ila mwenye-enzi mungu na muhamad ni mtume wake!
Upo hapo?
Shukran umesema una reservation kwa viongozi wa CUF na Chadema, sasa inakuwaje mimi reservation zangu unazipinga kwa nguvu zote?..Mjadala huu unahusu mkutano ulioandaliwa na viongozi wa CUF ambao binafsi yangu siwaafiki na ndio nawashambulia hapa sio CUF. Nimeonyesha hata unyonge wa wanaCUF na jeuri ya Maalim Seif lakini wewe unakuja na kuitetea wakati deep down huna imani na mtu huyu. Hutaki kumsema lolote kwa sababu ni Musilaam na Mzazinbar ..oooh sorry wewe Mgogozenji, mybad!...Mkuu mbona unaweka maneno yako kwangu; mimi sijasema kwamba Jussa na Seif wanawasaliti waislam NO! nimesema nina reservation kama viongozi wa CUF kama taasisi ya kisiasa period! kama ambavyo nina reservation kwa viongozi wa chadema Slaa na Mnyika..
oh unaniuliza kwa vipi Dr. Slaa anausaliti waislam na uislam, mkuu nimeshaenda ofisini kwake mara nyingi tumeongea mambo ya siasa na dini ana chuki ya kufa mtu na uislam ..
Sasa ikiwa wewe unajua haya inakuwaje unawatetea CCM na CUf wakati wote hawa sii watetezi wa maslahi ya Waislaam? Binafsi nimeshasema sintotetea maslahi ya Waislaam bali hutetea maslahi ya DINI - ISLAM ili wafuasi wake wapate kufanya ibada zao bila kuzuiliwa. Nadhani nilishawahi kusema huko nyuma ya kwamba Chadema walikuwa na CUF toka mwaka 1995 -2000 na wakimkubali Lipumba kama mgombea Urais.. Je unafikri hawa wakristu walikuwa hawajui kwamba CUF inanadiwa kama chama cha Waislaam?.. CDM walikuwa hawajui kwamba Lipumba alkitaka kuuvunja muafaka wa MoU? Walikuwa hawajui kwamba Zanzibar ni nchi na zinatakiwa kuundwa nchi tatu?.Hakuna hata chama kimoja cha siasa kinacho oppose MoU kati ya CCM na Chadema; hapo sera yao ni sawasawa kusaidia kanisa na ikibidi waislamu walie tu..nina uhakika wa CUF hasa Lipumba ana oppose MoU na yuko tayari Taifa kujiunga na OIC..