Picha: Mkutano wa CUF Dar wafurika


Ha ha typical cdm fan,

Nani aliyekwambia CUF haiko Dodoma? njoo dodoma uone walivyoenea??..Same applies to CUF tutafika maeneo yote ya wakristo InshAllah..

Aisee kumbe HR kufukuzwa kwake kunatokana na uislam wake?? na kufukuzwa kwa madiwani watano Arusha wa chadema kunatokana na ukristo wao??

Wewe una akili sana wewe
 
Nonda,
Kwani Nyerere ndiye alikuwa msafi?.. alikuwa Dikteta na kwa kufanya hivyo alionyesha Udikteta wake hivyo hatutegemei kuona mtu mwingne ktk serikali ya demokrasia akifanya hivyo. Wakati wa Nyerere akipita ilitakiwa maduka yafungwe, mjipange barabarani na kupiga makofi hii yote leo ni dharau..
 
Chadema hatuna dini mkuu wangu dini tupachikeni nyie maana wewe mwenyewe unalia na CUF na Uislaam, Ticket unaitumia mwenyewe bila kushikizwa..sikuyasema mimi hata kidogo. Kama kweli mnatetea Uislaam mbona Muislaam HR kasema ukweli kuhusu Wazanzibar Wagogo kina nyie tayari wamemtoa roho muislaam anayetetea Uislaam bara?.

Sasa Mzanzibar wewe Mgogo (MgoZanji) sijui utakimbilia wapi! aaaah CCM! ndio maana nawaona wengi wenu WagoZanji hadi kule Sheruwi Singida wanajiunga CCM kwa nguvu zote, sasa naelewa usialaam mnautupa wenyewe mnamrudia mbaya wenu.
 
tushakusamehe pia kwa uelewa mbovu!
 


Hatshangai kwa vile wewe mwenyewe hujijui. Hebu jiulize tisa desemba juzi ulisherehekea nini? Jee ulisherehekea URT? Jitambue halafu urudi kutoa hoja.
 

Easy to say than done; kama chadema hakuna udini kwanini mmeshindwa ku-penatrate zanzibar? au sehemu zenye waislam wengi? pili kwanini viongozi wengi wa chadema ni wakatoliki tena supportets wengi wametoka au kusoma seminary za kikatoliki???

CUF hakuna udini ndugu yang; ni chama kinachofuata principles na kila anayevunja katiba anaondolewa kwa mujibu wa katiba.
 

Duuh!

Watetezi wa "dikteta" wamelala nini leo? Ngoja waamke kesho, utapata scud zako!!

You might be right though. Call spade a spade. I like it.

Tunahitaji wakandara wengi ili tupate katiba ya kuondoa udikteta.
 

Hata CHADEMA ndugu yangu na ndio maana kwenu si mgogoro (sera Yenu) kwani kama ungekuwa ni mgogoro mgekwisha kutishia maandamano. Najiuliza siori ya wenzetu wa Bara Magamba na Watani zake kuungangania huu Muungano!
 
Ningekuamini kama ungekuwa unasema ukweli lakini loh! uko mbali sana na ukweli.
 

mkandara hongera ni lini umejiunga na chadema?.. Nadhani sasa utasaidia kuondoa ubaguzi na chuki za kidini zilizojikita ktk chama hiki na pia utasaidia kuwapora wachagga na wakatoliki bila kusahau kurudisha chama mikononi mwa wananchama badala ya undugu nization...

Pia utasaidia akina zito kabwe nao waruhusiwe kugombea uenyekiti wa chadema na urais...
 
My conclusion kumbe mtatiro ni kilaza.. Anaendeshwa na mkumbo wa maalim seif

Ndio unajua leo, hata namna ya kuongea kabadilisha. Siku hizi anaongea kwa kuvuta maneno kama Mwenyekiti wao Lipumba ambaye kakimbia nchini kweda kupiga vibarua Malaysia. Mchumi yule, hawezi kukaa hapa bure huku dolali zinamsubiri kule.
 

Nilishamwambia hawezi kupenyeza huko hata kama angetaka kuwa kiongozi wa chadema;

Atabakia by-standers na kubeba mabegi ya JJ Mnyika (superman), Wilbroad Slaa, Mbowe etc..

Nani ampe nafasi the maximum he can be ni kuwa mwanachama "Mtiifu" akijaribu kutafuta uongozi atapachikwa kuwa ni mdini na mtu wa vurugu
 

Umetumia neno zuri kuwa hujui hivyo si busara kusema kuwa anaonyesha jeuri. Pengine alikuwa akimuigiza "Kibwetere" AK Hamadi Rashid
 
Alaaa! mbona hueleweki? Mara CUF inatetea Uislaam halafu tena unasema CUF hakuna Uislaam. CUF ni yya Wazanzibar mara mnakuja Bara kutafuta watu yaani hamueleweki kama Wazenji wenyewe maana ukiwauliza sana wanatakwambia mimi sio Mwafrika ni M-Oman, M-Yemen na wengine Wangazija..sasa mnagombea zanzibar huru kwa misingi gani na sio kwenu!

Chadema watafika tu Zenji kama itabidi lakini maadam swala lenu ni kujitenga hatuna haraka maana sisi huku Wabara tunajiandaa tu na kushughulikia Wagozenj na wengineo wa Temeke na Ilala..Kwani tulifikaje kanda ya ziwa, Mbeya na Iringa! na ujumbe umepokelewa. Sasa mkuu wangu ikiwa shule nyingi nchi ni za semimary unategemea kipi zaidi tofauti na Zanzibar ambako viongozi wengi wamesoma madrasa pia?.. Hiki kigezo gani... ulitaka Mkatoliki akasome shule za kata au madrasa!
 
Ngekewa,
Symbolize ya bendera huwekwa menzani pale pembeni au mbele yake na maadam kulikuwa na viongozi wa juu wa chama kutoka BARA ni lazima uweke pia bendera ya bara ktk mkutano wa chama ama huweki zote - inapepea bendera ya chama tu.. Huwezi kupeperusha juu ya jukwaa bendera ya Zanzibar ndani ya nchi nyingine ukasahau kuiweka ya bara ama ukaona hakuna umuhimu.

Hawa ni magaidi wa Muungano Na hasa huyo Jussa, na wamefanya hivyo makusudi (habari tunazipata haraka sana kuliko nyie) na ukijumlisha yote haya unapata kile ambacho wengi wanajiuliza hadi wameshindwa kubeba wala kuvaa jezi za CUF..
 
Picha nilizoona hapo juu zimedhihirisha kuwa Hamad Rashid alikuwa sahihi!! Maalim Seif hana mpango na CUF ya Tannganyika, anahitaji CUF ya Zanzibar itakayo mwezesha kuwa Rais au Makamo wa kwanza wa Rais wa Zanzibar. Picha hizi zinaonyesha CUF Zanzibar walipofanya mkutano wao pale Manzese.

Tusubirie Mkutano wa CUF Tanzania bara utakao peperusha bendera za CUF na Bendera ya Taifa na kuhutubiwa na viongozi wa CUF bara akiwemo Lipumba na HR
 

Mimimnaona kutofahamu na kutouliza ndio kosa kubwa kuliko hayo ya kutoweka bendera na kutia mikono mfukoni.

Muelewa wa siasa hashangai kuona gestures za nama fulani kwenye hutuba kwani huwa zinaendana na jambo linalozungumzwa.
Hili la Bendera tena ni ujinga ulioje kuliuliza asa far as Seif Sharifu Hamadi Concerned. Hebu tuambie nini Cheo cha huyu Bwana katika Serikali ya Tanganyika AKA Tanzania hata apeperushe bendera wakati akihutubia?
 
mkuu wangu umeenda sana ndani..mwenye akili zake timamu anawajua hawa jamaa na siasa wanazoziendesha
 

Alaa mbona hueleweki mara chadema ni chama cha wakristo hawezi kufika zanzibar etc?? mara mtafika tu ipi ni ipi??

Sasa cha ajabu nini hapo hata CUF itafika kote huko kuanzia mbeya hadi Bukoba; Kigoma hadi Pemba itafika tu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…