Picha: Mkutano wa CHADEMA kanda ya Magharibi

Mbona LB7 sijawaona humu,je,ni kusema hawajaona haya makuu ama wamekiri? Any way THAT IS THE WAY IT IS CDM.
 
haya weee ! Viwanja vyote vya soka walivyojimilikisha wasiohusika vinarudishwa kwa wenyewe siku si nyingi , ikiwemo OFISI NDOGO LUMUMBA ! Ccm haina nyumba bali ilipora nyumba za umma .
 
Wakiandikisha daftari la wapiga kura vizuri CCm itakuwa na wabunge 3 tu....deo, lugola na ally kessy,

Deo Filikunjombe na Kangi Lugola wanaingia chadema
 
Ahsanteni Kikosi maalumu cha Anga la Media na Social Network kwa kutupa update motomoto..
 
Ahsanteni Kikosi maalumu cha Anga la Media na Social Network kwa kutupa update motomoto..

kamanda , cdm ni chama cha kisasa mno ! Haifanani kabisa na hii mivyama yao chakavu .
 
watu wanaitaji mabadiliko ya kweli wanaitaji chakula wanaitaji maisha bora elimu bure bei ya umeme nafuu
 
Chadema sio mchezo jamani pucha ya kwanza inanikumbusha mkutano wa arusha dr. Aliposema wekeni mikono kichqani na kulia uwiiiii kulaani mauaji ya watu.
 
uwii uwii uwii jamani tupeni maisha bora MACCM mumefirisi nchi yetu

 
Huu ni mkutano wa Chadema kanda ya Magharibi sio ziwa Magharibi.Kwa taarifa tu ni kwamba hata kesho hii amsha amsha itaendelea kanda hii ya magharini hadi tarehe 25.01.ndipo itakuwa kanda ya ziwa Magharibi.
 
sixgates na wenzake wanachungulia kwa mbaaaliiiii, ngoma ya chadema haichezwi kwa kanga moja ama msuli utajonyea ngoma nzito hii

M4c pamoja daima.

wanasubili chadema ife..
 
Last edited by a moderator:
Huu ni mkutano wa Chadema kanda ya Magharibi sio ziwa Magharibi.Kwa taarifa tu ni kwamba hata kesho hii amsha amsha itaendelea kanda hii ya magharini hadi tarehe 25.01.ndipo itakuwa kanda ya ziwa Magharibi.

nilichanganya kamanda, nitawaomba Moderator waibadilishe je leo wapi..
 
Last edited by a moderator:

Very ionic! Good thinking
 

kikwete anavyo penda kuzurura hilo hata kubali sana sana atawaambia ccm itawafia mikononi mwenu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…