CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,950
- 9,509
Mbunge wa Karatu hakuweza kufika?
huu mkutano wa lini weka tarehe maana jana nasari alikuwa ngarenanyuki na king'ori kwenye jimbo lake na mimi nilishuhudia huu wa lini
alikuwepo...mh:mchungaji akunayembunge wa karatu hakuweza kufika?
leo mkuu..nassari alikuwepo,lissu,akunaye na rose kamili
Mkuu Crashwise,
Leo upo Arusha au Karatu??
TUMBIRI (PhD, University of HULL - UK),
tumbiri@jamiiforums.com
Hahaha TUMBIRI bana kwani karatu siyo Arusha. Niko safarini
Zito ndio injini ya CHADEMA,akihama CHADEMA kwisha habari yake.
Mbunge wa Karatu hakuweza kufika?