Picha: Mkutano wa ACT-Wazalendo mjini Mpanda jana

mcubic

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
10,306
6,514
ACT-Wazalendo jana ilifanya mkutano mkubwa Mjini Mpanda.
 

Attachments

  • 1438661164674.jpg
    1438661164674.jpg
    53 KB · Views: 2,194
  • 1438661189093.jpg
    1438661189093.jpg
    33.6 KB · Views: 2,272
  • 1438661217933.jpg
    1438661217933.jpg
    23.8 KB · Views: 2,036
Kwenye ile nyumba uliyohama kule, kuna mpangaji mmoja ulimwacha lkn kwa sasa nae haeleweki maana ametoka mguu mmoja nje lkn mmoja ukibaki ndani. Mkaribisheni huenda akawaongezea 'kura' kama sio 'kula'
 
Hebu mualikeni yule mzee apate jukwaa la kusemea na yeye, kama lowassa sasa ndio tegemeo la chadema, sioni ajabu Zitto na Slaa kuwa pamoja tena
 
Zitto kabwe nimekuvulia kofia mkuu nadhani wewe ndiye ulistahili kuitwa SUGU salute bro
 
Back
Top Bottom