Picha: Mkutano ACT Singida

Picha: Mkutano ACT Singida

kambitza

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2013
Posts
2,045
Reaction score
1,325
ImageUploadedByJamiiForums1429113638.121497.jpg ImageUploadedByJamiiForums1429113680.422604.jpg ImageUploadedByJamiiForums1429113702.606540.jpg ImageUploadedByJamiiForums1429113728.059717.jpg ImageUploadedByJamiiForums1429113728.059717.jpg


Kazi ya kufyeka pori na kusambaza Uzalendo inaendelea, Singida leo umefanyika mkutano mkubwa uliofanikiwa sana.

ACT WAZALENDOOOO
 
Haya bwana!! Tumeona ila unganeni na vyama vingine vya upinzani kama vikihiarika ili muufikie kwa urahisi ukombozi wa mtanzania wa sasa.Kura yangu ni ya upinzani ila mkiendelea kukagawanyika namna hii mtawakosesha raha wapenda mabadiliko ya kweli.
 
Hapo ni nyumbani kwa Mwenyekiti na mshauri mkuu wa CHAMA kweli wameitikia.
 
Wamevuna wanachama elfu ngapi huko singida jamani mbona sijawahi kusikia walichovuna zaidi ya watu tu.maana hata mm wakifanya mkutano nilipo nitaenda kusikiliza Sio wao tu chama chochote ila siwezi kuwapa kura yangu
 
Back
Top Bottom