PICHA: Mikutano ya kupinga gesi yaendelea

PICHA: Mikutano ya kupinga gesi yaendelea

Mikutano hyo inaleta mgawanyiko wa kiwilaya na mkoa katika tanzania hii! Eti kisa gesi iko mtwara isifike dar! Kimsingi nachoweza washauri ni kwamba wanganganie viwada vijenge kwa cyo kukataa juhud za maedeleo ya nchi

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

kwa hiyo Power Plant ikijemgwa Mtwara maendeleo yatakosekana?, Stop being myopic
 
Nanyi watu wa Mtwara mmetuchosha!. Gas Gas, kwani uchumi wenu huko ni gas tu? Mkiachiwa kama mnavyodai, mtaweza kuimanage hiyo gas hadi ilete matokeo sahihi? Mbona watu wenyewe maneno mengi lakini juhudi za kutafuta maarifa ya maendeleo habaaa? Waaaii! Mie nimejichokea mwaya.

Na kama kuna chama, idara ama mtu yeyote anatengeneza umaarufu kwa kubrain wash watu kama hawa, anatengeneza mazingira magumu hata kwake akipewa utawala.

Ikumbukwe kwamba umaskini wa wa Tanzania unauhusiano wa moja kwa moja na uwezo wa upper stairs. Ndiyo maana wanachagua ccm kila wakati huku wana vidonda vinavyooza katika maisha ambavyo vimesababishwa ha hao hao ccm, na wala hata bandage na dawa za kutibia hawapewi.

Tatizo ni ule uwezo wa upper stairs ndio unawafanya waichague ccm huku wakiugulia maumivu yake.

Wanasiasa wetu mnapaswa kuliona hili na mjue kwamba kutoa hamasa bila elimu inayojengwa msingi wa uelewa na kuchanganua na ku reason, mjue kwamba hawa watu watakariri hayo hayo. Na watakariri kwamba njia sahihi ya kupata haki ama maendeleo ni vurugu. Na kwamba ni lazima wapate haki hata bila kuangalia upande wa nyajibu na michakato ya maendeleo.

Watakapo wapa fursa ya uongozi, watategemea kila kitu kishuke bila mchakato, bila juhudi zao binafsi na hawataangalia suala la uwajibikaji. Na kwaa kuwa watakuwa wamekuwa wa hivyo, itakuwa ni vigumu sana kwao kufuata mipango na hatua zake ambazo mara

nyingine huhitaji subira na muda. Hivo watu hii wataanza kufanya fujo wakijua ndiyo njia ya kuspeed up upatikanaji wa matakwa yao. ccm nao kwa kuwa ni makamanda wa hila, wataanza kuweachochea. Sasa pamoja na umaskini wa
mali, ujinga na matatizo kibao ya watz, kutaongezeka ile kitu naitwa furugu.

MIMI NAOMBA WADAU WOTE WA MAENDELEO TUTOE ELIMU YA MAENDELEO KWA WATU WOTE ILI WAJUE, PAMOJA NA KUDAI HAKI, LAKINI PIA WAJUE KUNA WAJIBU WAO. PIA MAENDELEO NI MCHAKATO UNAOHITAJI USHIRIKIANO, UTASHI, UPENDO, JUHUDI NA MAARIFA.

Huyu naye ni kilaza wa wapi huyu? au ndiyo wale wa MMEMKWA nini? Wakati mwingine hebu jaribu kishirikisha ubongo wako mazee!!!! Inaonekana hata ulicho kiandika hukijui kabisa. Maana havioani na mada iliyopo kwenye jamvi. Kajipange kivingine mazee.
 
Kati ya siku 14 alizopewa Simba Kalia kuondoka Mtwara zimebaki siku 4,asipong'atuka yanaitisha maandamano ya kumg'oa.
 
Hilo bomba walilokopea matrilion lisaidie kupeleka maji sehemu kame! Nyambafu.
 
Tu pamoja!!Tulisikia waziri akisema mtaneemeka kwa kupata vibarua(manamba) katika ujenzi wa bomba hilo la gas.Astaghafrulah!Mererani(mirelani)wamebaki na vumbi hata lami holah!imeshindikana.Serikali iko usingizini haijui tulikuwa na TANZANITE ujazo kiasi kiasi gani,imechimbwa kiasi gani,imeshauzwa kiasi gani na tumebakiwa na kiasi gani ardhini.KWENYE MAUZO SOKO LA DUNIA HATUPO KWENYE NCHI TATU ZINAZOONGOZA KWA MAUZO YA TANZANITE DUNIANI.***TUNAIBIWA NA HATUKO TAYARI KUZUIA TUSIIBIWE.{Aibu}.KUMBUKA-TANZANITE INAPATIKANA TANZANIA TU chini ya ardhi takatif ya MERERANI ARUSHA.,Wamebaki na vumbi hata maji wamenyimwa.NZEGA wameula wa chuya,KAHAMA mayonene, huku usafiri wa wajawazito ni punda na baiskel,GEITA Uuuuuuwi!TARIME uhadithiwe,utalia na kujuta kuzaliwa Tz yakikukuta.DODOMA kaeni chonjo na hayo madini hatari ya URANIUM.>>>>>PAMOJA TUSHIKAMANE KUUKATAA UTUMWA HUU WA MKOLONI MWEUSI.
 
Ni kweli na mimi nipo viwanja vya Bima Mkutano Ni mkubwa wananchi wameitikia kwa wingi na hoja zinazotolewa ni nzito wanadai hata Naibu waziri wa Nishati na madini asubuhi amepotosha aliposema Gesi ya mtwara ni ndogo sana je?hiyo nyingi iko wapi wanataka maendeleo kwanza sio porojo za siasa.Nitaendelea kuleta mengi zaidi

Jambo hili litasababisha watu wa mtwara waichukie ccm acheni kupeleka gas dar kwa mabomba.
 
Waziri wa nishati na madini akiongea na Dw amesema hao wanaogoma ni watu wa mjini na hapo mjini hakuna gesi hata tone. Huko kijijini kwenyewe kuna 14 percent. Gesi nyingi iko kunako kina kirefu cha bahari ambako kwa akili yake siyo milki ya eneo la mkoa wa Mtwara.
Hapo kuna kazi nionavyo mimi. Kama watu hawatakazana kiasi cha kuyaweka rehani maisha yao gesi lazima ifike Dar. Hii vita ni zaidi ya ile vita ya kupigania uhuru.
 
Kimsingi wananchi wa mtwara wanasema hawapingi Gesi kupelekwa Dar isipokuwa wasichotaka ni GESI kupelekwa ikiwa Ghafi"Raw material"akihutubia mkutano huo mjumbe toka CHADEMA ambae ni mwenyekiti wa CDM.Mtwara amebainisha kwamba wakati wa kunyanyaswa watu wa kusini umekwisha na watawala watambue kuwa kusini ndio itakuwa mwanzo wa ukombozi wa watanzania katika kudai haki zao.Maendeleo waliyo ahidiwa kwamba Mitambo ya kufua UMEME ingejengwa MIKINDANI wanataka itekelezwe kwanza vinginevyo GESI haitoki yamesemwa mengi lakini la kujifunza hapa ni kwamba muda huu wananchi wameanza kutambua kwamba maeneo mengine ya nchi hii imebaki bila maendeleo kutokana na uwekezaji usiojali maeneo yanayozunguka Rasilimali zilipo.
 
Huyu naye ni kilaza wa wapi huyu? au ndiyo wale wa MMEMKWA nini? Wakati mwingine hebu jaribu kishirikisha ubongo wako mazee!!!! Inaonekana hata ulicho kiandika hukijui kabisa. Maana havioani na mada iliyopo kwenye jamvi. Kajipange kivingine mazee.

Mjukuu, hata MEMKWA cjasoma mjukuu wangu!. Mimi ni msee kilaza wa Isebania ya Mfaranyaki!. Umu moesema vyema. Ila kitu moja. Sist nasomesa ninyi vijana mje mtuongoze. Sasa wewe naogopesa sisi. Kama nakuwa kiongozi ndiyo takuwa natukana hivi zee vako? Kwa kuwa wazazi wako na babu na bibi zako wote nasoma Oxford University kwa Queen, ndiyo wewe pana taka changanyika na watu daraja kama langu?

Kwa hiyo sisi wazee hatutakiwi kuweka mawazo yetu ya Memkwa humu? Kwa hiyo wewe hutaki kusikia msee? Kumbuka kwamba iko siku na wewe utakuwa Mzee. Omba Mungu akutunze.

Na mimi kuandika hapa hivi, ni vile kweli nimechoka, na pia nimeona mbali sana mjukuu wangu. Sijasoma darasani ila ninaelimu kubwa ya maisha. Mambo kama hii natokea Mtwar takuja tokea biuzwagi, Siringeti watataka, kwamba TANAPA IKAE KWAO, KWA VILE WANYAMA WENGI WAKO KWAO. Viwanda vya nyama za kuku Singida, Wachawi wa jadi Bagamoyo, Tanga, Kigoma na wapi sijui!. Watu wote takuwa impatient with no room for discussions.

Yes mimi ni kilaza mzee, lakini wewe kijana msomi jifunze ku-interact na watu wenye uwezo na uelewa tofauti. Itakusaidia. Watu hawafanani na ndio uzuri wa dunia. Our differences are our uniqueness!.

Enjoy your postings grand child!
 
Mikutano ya kupinga gesi kwenda Dar yaendelea maeneo ya Bima mjini Mtwara

attachment.php

attachment.php

Halafu kwa ukilaza wa Naibu Waziri Nishati/Madini Simba Chawene anaionyesha dunia ujinga wake kwa kusema GESI INAONGOZWA KWA KUTUMIA SERA YA MAFUTA. Ukisikia ukilaza wa kufa mtu ndiyo huu. Yaani kwa vile wamesha gawana a.k.a fisadi pesa za mkopo wa waChina, basi mishipa inawatoka kutetea ufisadi wao.

Wana Mtwara komaeni kiume. Mkidhani kwamba jamaa ni shemeji yenu anamiliza na mtabaki kuwa MANAMBA wa gesi. Piganeni kweli kweli, jamaa hawana huruma kabisa. Jamaa anatamani kuhamishia kila kitu Bagamoyo.

Kumbukeni kizungu mkuti cha Hifadhi ya Saadan na makao makuu yake kuhamishiwa Bagamoyo badala ya Pangani.
 
Ninawatakia kila lililo jema watu wangu wa mtwara na kusini kwa ujumla katika hili na naomba muendelee na huu moyo mpaka mutakavyfanikiwa,tuko pamoja na watanzania wote isipokuwa wanafiki ambao wanapotosha malengo yetu na kuyafanya yaonekane ni ya kibinafsi lakini sisi si wabinafsi hata kidogo kwasababu tunahitaji hii gesi itunufaishe watanzania wote,sasa hivi kama ndivyo ilivyo basi viwanda vya kuiproces hiyo gesi vikiwa mtwara sio dhambi kwa sababu ni sehemu ya tanzania labda watuambie kuwa hatustahili kuitwa watanzani ''wanaohatarisha nchi yetu ni hawa walioko madarakani ambao wanadhani kila wanachoamua ni sahihi,ifike hatua hawa viongozi wetu wabadilike kwa sababu hao sio malaika au mungu au miungu kwamba hawakosei'' tafadhari sana wewe unayesoma hii komenti kama ni kweli mzalendo basi utaona ni sahihi wanachikidai watu wa mtwara,ninaumia sana kuona viongozi wanaotuwakilisha kutuona kama ni wajinga au ufahamu wetu kuwa mdogo kuliko wao......dah sijui niseme nini watu wetu wa kusini waweze kufikiliwa katika maendeleo endelevu..tusaidieni wenzenu tunatamani tuwe na viwanda na huduma za jamii kama zinazopatikana sehemu zingine ambazo viongozi wetu wanaona ndizo sehemu sahihi na sio kusini..........!!!!!!!
 
Nanyi watu wa Mtwara mmetuchosha!. Gas Gas, kwani uchumi wenu huko ni gas tu? Mkiachiwa kama mnavyodai, mtaweza kuimanage hiyo gas hadi ilete matokeo sahihi? Mbona watu wenyewe maneno mengi lakini juhudi za kutafuta maarifa ya maendeleo habaaa? Waaaii! Mie nimejichokea mwaya.

Na kama kuna chama, idara ama mtu yeyote anatengeneza umaarufu kwa kubrain wash watu kama hawa, anatengeneza mazingira magumu hata kwake akipewa utawala.

Ikumbukwe kwamba umaskini wa wa Tanzania unauhusiano wa moja kwa moja na uwezo wa upper stairs. Ndiyo maana wanachagua ccm kila wakati huku wana vidonda vinavyooza katika maisha ambavyo vimesababishwa ha hao hao ccm, na wala hata bandage na dawa za kutibia hawapewi.

Tatizo ni ule uwezo wa upper stairs ndio unawafanya waichague ccm huku wakiugulia maumivu yake.

Wanasiasa wetu mnapaswa kuliona hili na mjue kwamba kutoa hamasa bila elimu inayojengwa msingi wa uelewa na kuchanganua na ku reason, mjue kwamba hawa watu watakariri hayo hayo. Na watakariri kwamba njia sahihi ya kupata haki ama maendeleo ni vurugu. Na kwamba ni lazima wapate haki hata bila kuangalia upande wa nyajibu na michakato ya maendeleo.

Watakapo wapa fursa ya uongozi, watategemea kila kitu kishuke bila mchakato, bila juhudi zao binafsi na hawataangalia suala la uwajibikaji. Na kwaa kuwa watakuwa wamekuwa wa hivyo, itakuwa ni vigumu sana kwao kufuata mipango na hatua zake ambazo mara

nyingine huhitaji subira na muda. Hivo watu hii wataanza kufanya fujo wakijua ndiyo njia ya kuspeed up upatikanaji wa matakwa yao. ccm nao kwa kuwa ni makamanda wa hila, wataanza kuweachochea. Sasa pamoja na umaskini wa
mali, ujinga na matatizo kibao ya watz, kutaongezeka ile kitu naitwa furugu.

MIMI NAOMBA WADAU WOTE WA MAENDELEO TUTOE ELIMU YA MAENDELEO KWA WATU WOTE ILI WAJUE, PAMOJA NA KUDAI HAKI, LAKINI PIA WAJUE KUNA WAJIBU WAO. PIA MAENDELEO NI MCHAKATO UNAOHITAJI USHIRIKIANO, UTASHI, UPENDO, JUHUDI NA MAARIFA.

Gas ni isue ndugu yangu, sema kwa vile wewe unaakili ndogo ndio maana huelewi, sijui kama unasikia matamko ya viongozi wa serikali yanatolewa kila siku. Usichoke wewe tulia waache wana Mtwara wapambane
 
Umesema kweli mwanafunzi. Maana hiyo ni lugha ya watoto wa shule.!. Mtu mwenye elimu na mental capacity kubwa anajua tofauti ya IQ na knowledge!. Pole sana !
 
Back
Top Bottom