PICHA: Miaka 50 ya uhuru toka uwanja wa Uhuru - Dar

PICHA: Miaka 50 ya uhuru toka uwanja wa Uhuru - Dar

Nilitegemea kwenye miaka hamsini ya uhuru tuzindue hata Baiskeli iliyotengenezwa Tanzania....Kumbe hata magari tunatumia Mercidez ya Ujerumani waliotutawala? Aibu kweli mie siji uwanjani!


tumeshindwa kutengeneza viberiti KIBO MATCH GROUP MOSHI wamefunga ndo hiyo mijiGari .....labda tuanze na level ya tooth pick
 
zitto kwenye sherehe za miaka hamsini ya uhuru(dar es salaam leo)

zitto_kbwe.jpg

jamaa alirudi na mtoto wa kihindi? au ni daktari wake
 
mbona hawa madereva wa bodaboda walipigwa vita kweli imekuwaje kuwepo kwenye msafara..

Lwakatare akiwa Mbuge wa Bukoba Mjini kipindi hicho inasemakana aliwatetea sana wasisumuliwe katika shughuli zao, lcha kushangaza madereva hao waliuza shahada zao za kupigua kura na kumchinjia Lwakatare ziwa Rwelu bila huruma.
 
Asante sana mkuu kwa kutuwekea picha za kumbukumbu ya sherehe za miaka 50 ya Uhuru. Natamani kama ingekuwa ni live.:bange:
 
Jeshi letu limekuwa likifanya mazoezi ya kutimiza miaka 50 ya JWTZ kwa kukatiza anga na midege yenye kasi na mlio mkali sana.hivi je kama ni vita si inakuwa balaa .tudumishe amani jamani ni shidaaa
 
balaa haswaa,
na hapo hizo ndege ni cha mtoto
 
Back
Top Bottom