PICHA: Miaka 50 ya uhuru toka uwanja wa Uhuru - Dar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

PICHA: Miaka 50 ya uhuru toka uwanja wa Uhuru - Dar

Discussion in 'Jamii Photos' started by figganigga, Dec 9, 2011.

 1. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #1
  Dec 9, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,612
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Ndege za Kivita kutoka JWTZ
  [​IMG]

  [​IMG]
  [​IMG]

  [​IMG]
  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]


  polisi wakiimarisha ulinzi
  [​IMG]
  waendesha bodaboda wakijiandaa kuingia kwa maandamano
  [​IMG]
  jwtz wameamua kusimama wenyewe getini baada ya polisi kulemewa na watu
  [​IMG]
  watu wakilazimishwa kwenda uwanja mpya kuangalizia matukio kwenye big tv
  [​IMG]
  watu wamepanda juu kwenye uwanja mpya ili waweze kuona yanayoendelea uwanja wa uhuru
  [​IMG]
  huyu ni seif hamad makamu wa rais zanzibar
  [​IMG]
   

  Attached Files:

 2. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #2
  Dec 9, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Hawa jamaa wa boda boda wamepewa hesabu yao ya siku ya leo + hizo jersey (na joto hili!!!) au wanajitolea kusheheekea UHUNI wa viongozi wetu?
  [​IMG]
   
 3. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #3
  Dec 9, 2011
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Poor Tanzanians! i will always sob for you lot! God bless Tz God bless Africa.
   
 4. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #4
  Dec 9, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,612
  Trophy Points: 280
  wanajeshi wakiwa wanajiandaa kuingiza zana za kivita siku ya uhuru

  [​IMG]
  [​IMG]

  [​IMG]
  [​IMG]
   

  Attached Files:

  • 5.jpg
   5.jpg
   File size:
   131.9 KB
   Views:
   126
  • 4.jpg
   4.jpg
   File size:
   139.1 KB
   Views:
   156
  • 3.jpg
   3.jpg
   File size:
   184.4 KB
   Views:
   144
  • 2.jpg
   2.jpg
   File size:
   132.7 KB
   Views:
   79
  • 1.jpg
   1.jpg
   File size:
   140 KB
   Views:
   130
  • 6.jpg
   6.jpg
   File size:
   160.2 KB
   Views:
   134
 5. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #5
  Dec 9, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mbona hawa madereva wa bodaboda walipigwa vita kweli imekuwaje kuwepo kwenye msafara..
   
 6. N

  Nyumbu- JF-Expert Member

  #6
  Dec 9, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 969
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 60
  Nilitegemea kwenye miaka hamsini ya uhuru tuzindue hata Baiskeli iliyotengenezwa Tanzania....Kumbe hata magari tunatumia Mercidez ya Ujerumani waliotutawala? Aibu kweli mie siji uwanjani!
   
 7. c

  chandika Member

  #7
  Dec 9, 2011
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sijui tu huko leo kama kuaningilika maaana washikaji wametanda kinoma,,
   
 8. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #8
  Dec 9, 2011
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  zitto kwenye sherehe za miaka hamsini ya uhuru(dar es salaam leo)

  [​IMG]
   

  Attached Files:

 9. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #9
  Dec 9, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Uhuru ndo tunaenda vitani?

  haya mavi-faru ya nini tena au ndo mtindo wao ccm kuwatishia watu

  To hell ccm
   
 10. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #10
  Dec 9, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,434
  Likes Received: 19,775
  Trophy Points: 280
  sijaona kifaa cha maana hadi hapao..nyumbu?? yaani akili yetu ndio imefikia hapa?
   
 11. amkawewe

  amkawewe JF-Expert Member

  #11
  Dec 9, 2011
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 2,029
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Naamini ataendelea kufikisha ujumbe kwamba ukombozi wa kweli bado.
   
 12. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #12
  Dec 9, 2011
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Kwa wataalam wa lugha,,
  kwanini hauwezi kusema ,,,"shavu ndii"!!! au "mimba dodo!"?
   
 13. MGAWARIZIKI

  MGAWARIZIKI JF-Expert Member

  #13
  Dec 9, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 306
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Anaonekana kama hakuugua
   
 14. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #14
  Dec 9, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  hii ndo kitu gani sasa
   
 15. Calnde

  Calnde JF-Expert Member

  #15
  Dec 9, 2011
  Joined: Oct 7, 2008
  Messages: 1,373
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Im sorry kama ntakuwa naenda nje ya mada, ila mbona Zitto kama amezeeka jamani au?
   
 16. Calnde

  Calnde JF-Expert Member

  #16
  Dec 9, 2011
  Joined: Oct 7, 2008
  Messages: 1,373
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Dah mheshimiwa Zitto mbona kama amezeeka jamani? Au ndo madhara ya kususia posho?
   
 17. LE GAGNANT

  LE GAGNANT JF-Expert Member

  #17
  Dec 9, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 1,247
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  wanatumika kisiasa, na wao wanaitumia fursa kujiweka sawa kuwa huru kujitafutia rizki,
   
 18. LE GAGNANT

  LE GAGNANT JF-Expert Member

  #18
  Dec 9, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 1,247
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  pesa zilizotumika kununua hiyo midude zingetumika kununua madawa na kuwalipa posho wanafunzi wa elimu ya juu vya kutosha kabisa.
   
 19. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #19
  Dec 9, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Zitto usoni anaonekana unkept hana mke...??? huo ndio mchango wangu wa miaka 50 ya uhuru hahahahah
   
 20. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #20
  Dec 9, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,612
  Trophy Points: 280
  Mkuu una uhakika huyu ni zitto? au umemfananisha?. Mia
   
Loading...