Picha:Mhe.Freeman Mbowe na Paul Makonda Pamoja

Picha:Mhe.Freeman Mbowe na Paul Makonda Pamoja

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,278
Reaction score
8,868
04b846ca9b96e743d6121a94a0176c6d.jpg

Unapiga je picha na Muuza unga kwa stahili hii?
Kumbe ni marafiki kwanini hakumpigia simu?
 
Sasa nimeanza kuamini kuna Mjinga moja alikurupuka na kuchafuwa Majina ya watu....hii inaonyesha dhahiri Mjinga huyo hakuwa na nia ya dhati ya kupambana na madawa ya kulevya
 
Jamaa kwa kujipendekeza kwenye familia za watu na kuanza kuwaita 'baba' 'baba' kama tekniki ya kupanda uraia kwenye familia za watu, hakuwa anatafuta uraia kweli kwa kamanda wa anga?
 
04b846ca9b96e743d6121a94a0176c6d.jpg

Unapiga je picha na Muuza unga kwa stahili hii?
Kumbe ni marafiki kwanini hakumpigia simu?

Mbona wameweka Pozi la Kigwangala gwangala? [emoji3] [emoji3]

Kuna Nyingine mmoja wao hapo analishwa Keki na Mwanaume wa Kihindi Uwanja wa Taifa ( Simba Day) tuwekeeni mliyo na hiyo picha [emoji12][emoji12]
 
3214484a386d2797448dc75b1f567e4e.jpg
 
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]

Awamu ya Tatu ya Wauzaji wa Dona itakayotangazwa Alhamisi ijayo na Mlishwa Keki hukosi atatumia hii hii username yako ya JF [emoji1493][emoji1493][emoji1493]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom