PICHA: Mh. Mbowe akiwa beneti na Rais Kikwete

PICHA: Mh. Mbowe akiwa beneti na Rais Kikwete

we mtoa mada acha akili ndogo kukaa na mtu ndio kuikubali ccm hapo ni kwenye msiba we pimbi unakuja na uzi wa kijinga jinga
 
safi sana kamanda wetu tupo pamoja daima

  • A%20S%20thumbs_up.gif

 
Kwa viwango hivi vya kufikiri, umasikini hautakuja kuondoka Tanzania. Wageni watachukua rasilimali zetu daima..
 
Hivi najiuliza si huyu Mbowe aliembandika tuhuma Zitto kama yuko karibu na CCM sasa yeye anafanya nini hapo.

Huyu jamaa ni kigeugeu kweli.Siasa sio uadui kwa wengine kwako wewe sawa.

hoja nyepesi..kwanini usijiulize nani anajieleza kwa mwingine........mbowe ana nguvu sana ktk nyoyo za CCM .Maccm yanamhofia sana...na muda wote wana penda msikia...Wakati wana CDM wanampenda na kumsikiliza hawana hofu nae.JK anajieleza na kujichekesha
 
Hata kama nikichukua pesa toka kwa kikwete si kosa, kosa ni kutumia pesa kukisaliti chama by freeman mbowe
 
Samahani kwa jina nitakalokuitwa ww ni shakunaku usiejua kitu
 
Hapo picha inajieleza vizuri sana! Ni rahisi kumtambua yupi ni KIONGOZI na yupi ni Mshauri/Mpambe...Rudia tena kuangalia picha kwa umakini utaona nani anajikomba na kujikanganya... Mbowe na Lowassa ni Natural born leaders ....only kwa wachambuzi ...
 
Hivi najiuliza si huyu Mbowe aliembandika tuhuma Zitto kama yuko karibu na CCM sasa yeye anafanya nini hapo.

Huyu jamaa ni kigeugeu kweli.Siasa sio uadui kwa wengine kwako wewe sawa.

Nje ya Siasa kwenye mambo Binafsi ..Mbowe na Kikwete ni watu wa karibu tu...
 
Infact mwaka 2010 Freeman Alikuwa tayari kumpisha Jakaya agombee urais kupitia Chadema...na hata Chadema walichelewa kutangaza mgombea kwa KUSUBIRI Kama Jakaya angetoswa.....Chimwaga ..sema halikuwa Hivyo
 
Infact mwaka 2010 Freeman Alikuwa tayari kumpisha Jakaya agombee urais kupitia Chadema...na hata Chadema walichelewa kutangaza mgombea kwa KUSUBIRI Kama Jakaya angetoswa.....
Mkuu,

Ndo unazeeka au mimi ndo kumbukumbu zangu haziko sawa? 2010 hakuwa Sitta? Nadhani hii unaongelea ni 2005. I may be wrong though!
 
Back
Top Bottom