Hivi najiuliza si huyu mbowe aliembndika tuhuma zito kama yuko karib na ccm sasa yy anafanya nn hapo.
Huyu jamaa ni kigeugeu kweli.siasa sio uadui kwa wengine kwako ww sawa
Upinzani sio Uadui, ila Usaliti ni Sumu. Nyie magamba rudini shule kwanza kabla ya kuleta uzi dhaifu kama kiongozi wenu.
Hivi najiuliza si huyu Mbowe aliembandika tuhuma Zitto kama yuko karibu na CCM sasa yeye anafanya nini hapo.
Huyu jamaa ni kigeugeu kweli.Siasa sio uadui kwa wengine kwako wewe sawa.
Mbowe anajua kujiweka katika mazingira ya kukinadi chama chake. Hakika Mbowe ni kiongozi sahihi kwa karne hii
KWA TAARIFA:HAWA NI WAMOJA NA WANAELEWA MAANA YA UZALENDO,,,,HAYA MAMBO YA VYAMA TUMELETEWA TU NDUGU ZANGUNI,SASA ILI KUWARIDHISHA WAKUBWA,,(WAFADHILI) LAZIMA TUWEPO KTK SANAA HII.Hivi najiuliza si huyu Mbowe aliembandika tuhuma Zitto kama yuko karibu na CCM sasa yeye anafanya nini hapo.
Huyu jamaa ni kigeugeu kweli.Siasa sio uadui kwa wengine kwako wewe sawa.
Hivi najiuliza si huyu Mbowe aliembandika tuhuma Zitto kama yuko karibu na CCM sasa yeye anafanya nini hapo.
Huyu jamaa ni kigeugeu kweli.Siasa sio uadui kwa wengine kwako wewe sawa.
Yupo na washirika wake
Hiyo ndo true colour ya mbowe kwa wasiomfahamu huyo fisadi/mzinzi
Duuh una akili kidogo ka punje ya mchele....fisad ni wale wanaolipa mishahara hewa hata kwa marehemu...wengne milungura yao iko ujeruman kwa dear....!!!!!Yupo na washirika wake
Hiyo ndo true colour ya mbowe kwa wasiomfahamu huyo fisadi/mzinzi