Kama ilivyo kwa Godbless Lema pale Arusha ndivyo itakavokuwa kwa Msigwa hapo Iringawabunge hawa wanajipambanua vema kwamba wanapigania haki za wapiga kura wao bungeni mpaka majimboni kwao vitendo na kwa dhati.Na hii ndiyo tofauti kati ya wapiga kelele za ndiyoooo, hatakama wanachokipigia ndiyooooo hakina maslahi kwa Taifa wala kwa wapiga kura wao.