Picha: Mbunge msingwa mahakamani leo asubuhi

Picha: Mbunge msingwa mahakamani leo asubuhi

Msimamia Ukucha

Senior Member
Joined
Feb 11, 2013
Posts
146
Reaction score
42
[h=3]MBUNGE MSIGWA KUFIKISHWA MAHAKAMANI WAKATI WOWOTE SASA , WANANCHI KIDUCHU WAFIKA MAHAKAMANI -LIVE[/h]


Baadhi ya wafuasi wachache wakielekea mahakamani kusubiri kesi ya mbunge wa jimbo hilo Mchungaji Msigwa na wenzake

Mmoja kati ya watumishi wa Mahakama kuu kanda ya Iringa Bw Bawadhil akiwa katika viwanja vya mahakama hiyo leo majira ya saa 5.05 asubuhi hii

Watumishi wa mahakama kuu kanda ya Iringa wakijuliana hali

Hawa ndio wananchi waliofika mahakamani hivi sasa kusubiri kusikiliza kesi ya mbunge na machinga

Hili ndilo gari la mbunge Msigwa ambalo jana lilifika eneo la Mashine tatu kabla ya mambo kuharibika

Ulinzi mkali wa polisi waimarishwa kituo cha polisi

Dakika chache kuanzia sasa mbunge na wenzake watafikishwa mahakamani endelea kutembelea mtandao huu wawww.matukiodaima.com tupo 'LIVE'​
 
tujuze mkuu nini kilijiri mahakamani kama umezipata
 
Serikali inayojiamini,diplomasia husema zaidi badala ya dola...
 
Ngoja aende akanyee debe ili akitoka aeshemu amri ya serkali.
 
Ngoja aende akanyee debe ili akitoka aeshemu amri ya serkali.
Umepotoka sana mkuu,kunyea debe ni moja ya maisha ya mwanadamu na unaowaona wananyea debe kila siku usidhani wapo pale kwa uhalali,natumai siku moja ukiingia mahabusu na hata jela utajua namna ya kuzungumza vema.
 
Wanampa umaarufu.. Why wasikae chini wakayamaliza?

Kwa mtindo huo (kukaa chini nakuyamaliza) mambulula kama hawa hawataacha kuvunja sheria. Wacha akale bure akitoka ndio atajua kua serkali nidhaifu (kama anavyo ropokaga) au ikomakini
 
Umepotoka sana mkuu,kunyea debe ni moja ya maisha ya mwanadamu na unaowaona wananyea debe kila siku usidhani wapo pale kwa uhalali,natumai siku moja ukiingia mahabusu na hata jela utajua namna ya kuzungumza vema.
Raia mwema haogopi jela. Jela zipo kwawatu kama Msigwa (wanao vunja sheria za nchi kwa faida za kisiasa)
 
wabunge+viongozi wa chadema mtajitambua lini. hamuoni mnabomoa badala ya kujenga. mlifika pazuri now mnaporomoka kuelekea shimoni.
 
Watatushika sana watatupiga mabomu sana lakini wanamwisho

Sheria haitazami wewe una mvuto gani ktk jamii. Mchungaji Mbunge sio tiketi ya kuvunja sheria. Ngoja akanywe iji kwanza kisha ataziheshim sheria zetu.
 
Ngoja aende akanyee debe ili akitoka aeshemu amri ya serkali.
Wanaharakati za ukombozi msife moyo, kipimo hikihiki wanachotumia CCM kwa wanaharakati wetu ndicho kitakachotumika baada ya Uhurukupatikana na CCM kuwa wapinzani.
Vitisho, unyanyasaji wa Jeshi la Polisi, udhalilishaji wa viongozi waliochaguliwa na wananchi, utekwaji nyara, mateso hata vifo ni tabia za tawala dhalimu, gandamizi zinazonuka rushwa kama hii serikali ya CCM.
Ukiona hivyo ujue saa ya ukombozi i karibu maana 2015 haiko mbali. A luta continua!!!
 
Raia mwema haogopi jela. Jela zipo kwawatu kama Msigwa (wanao vunja sheria za nchi kwa faida za kisiasa)
Nafurahi kusikia hivyo mkuu Kitoabu,inadhihirisha jinsi uelewa wako ulipoishia,nikutakie siku njema.
 
Ngoja aende akanyee debe ili akitoka aeshemu amri ya serkali.

Mheshimiwa anatuangusha maana yeye ni mmoja wa wanaotunga sheria halafu tena yeye anakuwa mvunja sheria, hawa waheshimiwa wa aina hii naona wanataka kutufikisha pabaya, acha aendelee kunyea debe kisha atajifunza tena nini maana ya sheria na vipi kauli mbaya zinavyoathiri maisha ya watu
 
Hatuwezi jenga nchi kwa tipe hii ya viongozi kama Msigwa ambao hawajui kipa wakisimamiacho, leo ana lalamika kua serkali haiwajibiki ipasavyo ktk kuakikisha majiji yetu yanakua safi, kesho anaamasisha machinga kufanya biashara barabarani. Hivi hii inaingia akilini?
 
Wanaharakati za ukombozi msife moyo, kipimo hikihiki wanachotumia CCM kwa wanaharakati wetu ndicho kitakachotumika baada ya Uhurukupatikana na CCM kuwa wapinzani.
Vitisho, unyanyasaji wa Jeshi la Polisi, udhalilishaji wa viongozi waliochaguliwa na wananchi, utekwaji nyara, mateso hata vifo ni tabia za tawala dhalimu, gandamizi zinazonuka rushwa kama hii serikali ya CCM.
Ukiona hivyo ujue saa ya ukombozi i karibu maana 2015 haiko mbali. A luta continua!!!
Kwahiyo alicho kifanya Msigwa unakiunga mkono? Harakati haziwi hivyo. Ukipenda sana chongo utaita makengeza.
 
Raia mwema haogopi jela. Jela zipo kwawatu kama Msigwa (wanao vunja sheria za nchi kwa faida za kisiasa)

Jela ni kwa yeyote ngoja siku uingie ndio utaamini.. Tena wewe itakupeleka kesi yakubaka kikongwe.. Kumbuka walio kwenda jela wote sio wanahatia.
 
Back
Top Bottom