bora mmetujuza wengine tulikuwa hata hatujui kitu,
kiongozi mkuu wa chama unakuwa mchafu kiasi hiki...?!
uadilifu wa kiongozi unapimwa kwa matendo yake, sasa unakuwa muhuni halafu wananchi utawaambiaje?utatushawishi kwa hoja gani?uaminifu umepungua.
wananchi wenzangu mwaka huu kamwe tusichague viongozi ambao sio waadilifu, tusichague wahuni, tujitahidi kupeleleza na kuchunguza maisha ya kila kiongozi kabla hatujawachagua ili tupate viongozi wenye uadilifu