Picha mbalimbali za Mkoa wa Mwanza

Mikoa mingi yenye sifa kama arusha,mwanzA na mbeya ni pa kawaida sana


Unashindwa kuelewa jambo dogo sana sifa ya Mkoa ni relative maana yake ni kwamba inategemea wewe kigezo chako ni kipi kama ni nje ya Tanzania basi uko sawa ni kawaida lkn kama ni ndani ya Tanzania siyo kweli kwamba MZ City, AR City na kwingineko ni pa kawada kwani kwa mtu anayetoka Tunduru au sijui Same sehemu kama MZ City au Arusha City hapawezi kuwa pa kawadia kwake!
 
Nashangaa kachagua picha za mwanza kijijini,
hebu weka picha za mjini basi
 
Ngoja niangalie madongo toka kwa wakazi wa Arusha.
 
Bora umesaidia mkuu maana ubongo wa watu sijui ukoje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…