Nasema ngoma nzito !! mkuu....Muda sana mayweather anamkimbia manpac
Akishinda pambanoHata akipigwa..?
Inasemekana Mayweather ataramba kitita cha dola za kimarekani milioni 180
Akhsante sana, nimekupata vizuri.Zimetengwa US $200m. Hapo Mayweither anapata 60% na MP anapata 40%.
Tarehe 2 may 2015 itakuwa hivi manpac atamkalisha mayweather.
Mbunge hakai atamkalisha misifa may..