Picha: Matunda ya CHADEMA Loliondo Yavuna wanachama wapya!

Picha: Matunda ya CHADEMA Loliondo Yavuna wanachama wapya!

Untold story siku zote huanikwa JF! ... viva Invisible, Melo et al...May Allah S.W.T protect the work of your hands til the end of time... Pamoja sana wakuu...

Ngoja nisiharibu mjadala ingawa sijayapenda baadhi ya maneno yako
 
Watanzania tumeteswa sana na hii serikali dhalimu kupita kiasi. Mungu waimarishe CDM na viongozi woteeeee wenye mapenzi mema na nchi yetu. Ee Mungu ninakuomba utuondolee huu udhalimu wa kiwete na wezi wenzake Baba ninakuomba kwa unyenyekevu wote. Amina
 
Misukule yamwisho kabisa kwa CCM inaanzakujitambua, inatakiwa ipigwe M4C kubwa sana huko and then Longido, Monduli n Simanjiro yote hapo kazi inakuwa imekwisha kabisa
Looool!!! na hao wakishaamua hawarudi nyuma..wataisoma namba
 
Mkuu wangu Lukolo, hakika msiwe mnawakimbilia watu wa aina....they can never create ROYAL BASE!! Hawa watu wanaofanya maamuzi yanayosukumwa na hasira mnapaswa kuwavutia pumzi, na sio kuwakimbilia!! Hii ni sawa na kumkimbilia mwanamke alieachika na mumewe kwa hasira....siku wakipatana, anarudi! She can't be be royal to you..!
Mkuu NasDaz nakubaliana na wewe kabisa. Ni kweli hawa jamaa ambao wanarudisha kadi kwa kuwa tu CCM imewaudhi, ni dhahiri kwamba siku CCM watakapotangaza otherwise kuhusu hilo eneo, wanaweza kupata watu wengi zaidi kuliko waliorudisha kadi. Sema ambacho nimefurahi ni kile tu kitendo cha wananchi kutambua kuwa mbaya wao ni CCM.
 
Last edited by a moderator:
Mzee Ruksa anahusika sakata la ardhi Loliondo! yeye ndio aliwapa ardhi waarabu! Mwandishi Stanley Katabaro akaanika ukweli! wakaamua "kumkolimba" stanley Katabaro.

R.I.P Stanley Katabaro---Tutakukumbuka Daima
 
Mkuu NasDaz nakubaliana na wewe kabisa. Ni kweli hawa jamaa ambao wanarudisha kadi kwa kuwa tu CCM imewaudhi, ni dhahiri kwamba siku CCM watakapotangaza otherwise kuhusu hilo eneo, wanaweza kupata watu wengi zaidi kuliko waliorudisha kadi. Sema ambacho nimefurahi ni kile tu kitendo cha wananchi kutambua kuwa mbaya wao ni CCM.
Tena hapo kwenye RED ni very true aisee!
 
attachment.php
 
Back
Top Bottom