Picha: Matunda ya CHADEMA Loliondo Yavuna wanachama wapya!

Picha: Matunda ya CHADEMA Loliondo Yavuna wanachama wapya!

attachment.php
 
Heshima kwako Baba V!

Sina mbavu kwa kucheka Mkuu! Thread kama hizi kwa MAGAMBA ni sawa na kuwaambia "WASHIKE NYETI ZA SIMBA ALIYE JERUHIWA". Na wakijaribu kuchangia, watakuwa kama Kasuku vile.

Asante kaka kwani huo ndio ukweli. like * 10000...infinite.
 
Yaani habari njema kama hizi huwa zinanifariji mno..viva chadema hongereni makamanda..pamoja na propaganda zoote za maccm plus majungu na uongo bado wananchi wameikataa ccm , mwinguru mchemba la mavi upo hapo? Wewe tengeneza video zako fake sisi tunapiga kazi ya kuwa komboa wananchi
 
Misukule yamwisho kabisa kwa CCM inaanzakujitambua, inatakiwa ipigwe M4C kubwa sana huko and then Longido, Monduli n Simanjiro yote hapo kazi inakuwa imekwisha kabisa

Walipokuwa ccm hawakuwa misukule, leo wana-Loliondo wanajiunga na CDM wanakuwa misukule! Misukule ni JK na ccm yake, wao ni misukule ya waarabu wa dubai, wa-iran, na misukule ya wachina!
 
Baada ya Nchemba kujitosa kichwa kichwa kwenye sakata la ardhi Loliondo wamasai warudisha kadi za ccm magamba na kumkabidhi fuko la kadi kuonyesha jinsi walivyo wachoka a.k.a magambas.
attachment.php
 

Attachments

  • loliondo.jpg
    loliondo.jpg
    59.8 KB · Views: 1,702
Hizo zote kwenye mfuko mweusi ni kadi au nyingine ni tshirt? Kama ni kweli hizo zote ni kadi basi hii ni hatu mhimu sana katika kuelekea ukombozi wa kweli. Wakati wakileta propaganda ya kwamba CHADEMA ni chama cha magaidi, wananchi wanawadhihirishia kwamba ni bora kutawaliwa na magaidi kuliko CCM/wachawi/wala damu za watu.
 
Untold story siku zote huanikwa JF! ... viva Invisible, Melo et al...May Allah S.W.T protect the work of your hands til the end of time... Pamoja sana wakuu...
 
Hatua moja mbele, then hatua 100 nyuma... kisha unafungua shampein kujipongeza...
Kudos CCM. 2015 is not far...
 
CCM wanaaha kutengeneza ushahidi fake dhidi ya Lwakatale CDM wanakusanya wanachama.what a creativity.CDM have and use brain,while CCM have brain but pretend not to have brain.

Ila CHADEMA wasipoangalaia wanaweza kukusanya mamilioni ya wanachama lakini CCM wao wamejipanga kuishinda CHADEMA kwa njia za mkato, wanaweza wakawekeza zaidi katika hii ishu ya Lwakatare ili Chadema ionekane ni chama cha magaidi na watamtumia msajiri akifutie usajiri, hapo watakuwa wamemaliza kazi na kuendelea kula bata ambayo ilikuwa ipo hatari kutibuliwa.
 
Kwa tuliokaa na wamasai tunajua athari ya kundi hilo kwa ccm,kwa kawaida wamasai huwa ni watu wenye imani kubwa kwa wazee wao,na kinamama(wanawake)huamini na kukubali chochote kinachoamuliwa na wanaume,hivyo nyuma ya hawa wanaoonekana pichani kuna kundi kubwa mno la wamasai,wasonjo,waman'gati na wa iraq, hata wakati wa kampeni za kisiasa au uchaguzi mwingine wowote kiongozi mmoja (laigwanan)huweza kuonyesha mwelekeo wa wote,tena waziwazi!!

Mfano atasema"wewe mekalia kiti siku nnyingi,hajatuletea maji hajatuletea barabara,hajaleta shule,we medanganya sisi tu, KURA YANGU NEMPA YUULE" basi ukisikia hivyo ujue huo ndiyo msimamo wa jamii nzima,na ikiwa mmoja atakiuka basi huchukuliwa kama msaliti na kuchukiwa kabisa,hivyo pigo hilo kwa ccm linaweza lisiishie loliondo pekeyake,bali hata longido kama wamepata habari hii inaweza kuwa chachu ya kuwabadili mwelekeo wao.
 
nilifurahi jana kwenye habari ya star tv mama wa kimasai akikataa kuongea na ole sendeka na kutaka kuongea na mwigulu nchemba nakumwambia katibu chukua kadi zako uende nazo ukimaliza kutatua hili tatizo na sisi kurudishiwa ardhi yetu turudishie ukishindwa kutatua huu mgogoro baki nazo nilifurahi sana kumbe hata wakinamama wanaweza kusimama mwanzo mwisho.

Hapa wamasai wameishika CCM pabaya hapa ni moja tu CCM kuchagua kuchukua fedha ardhi itoke au kutochukua fedha ardhi ibaki kwa wamasai na wabaki na kadi zao
 
Hizo zote kwenye mfuko mweusi ni kadi au nyingine ni tshirt? Kama ni kweli hizo zote ni kadi basi hii ni hatu mhimu sana katika kuelekea ukombozi wa kweli. Wakati wakileta propaganda ya kwamba CHADEMA ni chama cha magaidi, wananchi wanawadhihirishia kwamba ni bora kutawaliwa na magaidi kuliko CCM/wachawi/wala damu za watu.
Mkuu wangu Lukolo, hakika msiwe mnawakimbilia watu wa aina....they can never create ROYAL BASE!! Hawa watu wanaofanya maamuzi yanayosukumwa na hasira mnapaswa kuwavutia pumzi, na sio kuwakimbilia!! Hii ni sawa na kumkimbilia mwanamke alieachika na mumewe kwa hasira....siku wakipatana, anarudi! She can't be be royal to you..!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom