MAPUMA MIYOGA
JF-Expert Member
- Jan 30, 2013
- 3,792
- 2,370
freedom is coming 2015. Makaburu weusi nadhani wameanza kuiona njia kuelekea mafichoni walikotunza pesa za EPA>
CHADEMA imeendeleza harakati za M4C wilaya ya Ngorongoro Loliondo. Wamevuna wanachama wengi, huku Mwigulu Nchemba mkutano wake ukidoda, na kurudishiwa kadi za CCM hadharini.
Kamanda Lisu akihutubia wananchi wa Loliondo ambao wako kwenye mgogoro mkali na serikali ya CCM inayotaka kupora Ardhi yao na kumpatia mwekezaji!
Heshima kwako Baba V!
Sina mbavu kwa kucheka Mkuu! Thread kama hizi kwa MAGAMBA ni sawa na
kuwaambia "WASHIKE NYETI ZA SIMBA ALIYE JERUHIWA". Na wakijaribu
kuchangia, watakuwa kama Kasuku vile.
Kwani tulipoteza kata ngapi kwenye madiwani? Kumbukumbu zangu zinaniambia tutakwapua kata kadhaa zilizokuwa za CCM!Mbona udiwan tumeshindwa kufurukuta?