Picha:Mashabiki wa yanga waanza kuchoma moto jezi ya Niyonzima

py thon

JF-Expert Member
Sep 11, 2016
2,472
4,430
66d29e32cca7c6b94b831beddc7179ee.jpg
 
Bwihi

Si bure wanahitaji maombi hawa mashabiki Wapumbavu waliopenda Yanga kabla ya mpira!
 
Wanachama na Mashabiki wa Yanga wanadhani wakisajili mchezaji wanasajili hadi maisha yake na mawazo yake na hisia zake........

Hata kale kanyoka ka Kijani wanasema huwa hakana akili wala sumu kali.... kijani na njano ni janga sana.
 
In wenger voice hakuna watu wanafiki kama wachezaji wa mpira.

Ukishaelewa hii kauli na ile kocha anaajiriwa ili afukuzwe mpira wa miguu hautakupa kazi hata kidogo
 
Unafiki mbaya sana ...sasa hapo unaweza kuona wavuta bangi ndio waliojaa yanga ..mi natafuta maisha nshakula milioni zangu 100 na mshahara kila mwezi unachoma jezi yangu ? Yani we taahira kweli ni matahira hao ...
 
Mboni hawakuchoma jezi ya Mrisho NGASA alipochezea Simba sc.
Hata hivyo Niyonzima bado hajasaini Simba sc.
Jazba ya nini ?
Simba nao wachane jezi ya Ajibu ?
Luis Figo alishawahi cheza Real Madrid na Barcelona fc.

Washabiki wa Yanga fc hawana uvumilivu ktk fikra za soka la Yanga.
Huu mchezo hauhitaji hasira.
 
Mboni hawakuchoma jezi ya Mrisho NGASA alipochezea Simba sc.
Hata hivyo Niyonzima bado hajasaini Simba sc.
Jazba ya nini ?
Simba nao wachane jezi ya Ajibu ?
Luis Figo alishawahi cheza Real Madrid na Barcelona fc.

Washabiki wa Yanga fc hawana uvumilivu ktk fikra za soka la Yanga.
Huu mchezo hauhitaji hasira.
Usiwalaumu Luis Figo aliwahi kurushiwa kichwa cha nguruwe ¡!!!
 
Sasa mfano umenunua jezi ya yanga ina jina la "NIYONZIMA" halafu mtu huyo anahama kwenda timu nyingine sasa ile jezi utaivaa tena? haina jinsi zaidi ya kula moto
 
Back
Top Bottom